Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

All the best Chibu
Naitamani sana hii show kama ingeoneshwa... kuna mdau kaniambia Clouds walitangaza kwamba itaoneshwa sasa sijui ni kituo/channel gani cjui manake, naitamani sana hii show hata kama itakuwa recorded!
 
Asanteni Rwanda kwa kumkubali na kumpokea vyema rais licha ya tension za kisiasa zilizopo,hiii inaonyesha ni kiasi gani muziki ni kitu kinachoweza waweka watu pamoja licha ya tofauti zao zingine..
Mlakoze.

Source: inyarwanda.com
Kwa sasa Chibu ana assignment moja tu kwa hapa East Africa... Uganda! Waganda bhana wabishi sana na yale ma-dance hall yao na kwavile Kiswahili kinawapiga chenga ndo taabu moja kwa moja.
 
Kwa sasa Chibu ana assignment moja tu kwa hapa East Africa... Uganda! Waganda bhana wabishi sana na yale ma-dance hall yao na kwavile Kiswahili kinawapiga chenga ndo taabu moja kwa moja.

wanapenda sana lugha yao kazi anayo tena si ya kitoto
 
Anasemaje tena nae mwana mfalme????
Kauli yake haipendezi kabisa kuiweka hapa... ingawaje hajataja jina lakini wala haihitaji shahada kufahamu anachomaanisha! Tena hata mtandao mmoja wa Nigeria nao umetafsiri kauli ya Davido kama ninavyotafsiri mimi.
 
iseme tu maana (ingawaje hajataja jina lakini wala haihitaji shahada kufaham alichosema)inaongeza kimuhemuhe cha kujua
 
Anasemaje tena nae mwana mfalme????

NANUKUU KA ALIVOTWEET
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!" hyo ni moja ya pili

" niggas forget who helped them......... so quick......God don bless me i do my thing dey go keep my name out ur mounth !! WHO U DON HELP IDIOT!
 
His own downfall is coming...
Dawa ipo hapo kwenye Box jekundu panaposema Kauli Mbiu Yetu ni: "Afe Dancer Afe Msanii Lakini Shangwe Lazima...!" Na kwa kuwa hakuna Dancer atakayekubali Kufa, na Kwavile Diamond Mwenyewe Hayupo Tayari Kumwachia Zari Majonzi; kilichobaki hapo SHANGWE LAZIMA...!" Yaani baada ya
:violin::llama::majani7::lock1::msela::target::yo::juggle: Kitakachofuata hapo :clap2:😛eace:Huku Mashabiki nao wakisema:welcome:Again; Hata Hivyo, Saa Chache Baadae Chibu Yuleeeeee 😛lane:
 
NANUKUU KA ALIVOTWEET
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!" hyo ni moja ya pili

" niggas forget who helped them......... so quick......God don bless me i do my thing dey go keep my name out ur mounth !! WHO U DON HELP IDIOT!

dizain davido kama hajielewi.
 
Ila kabla hatujachambua kauli zake...kwani lazima ujumbe huo umuhusu dai? Hivi Davido kamsaidia Dai peke yake?

Soma alama za nyakati,kwa nini iwe posted kipind dai kaenda kuperfom lagos? Tena anarudia maneno yale yale kipindi kile ameingia kwenye mgogoro na wabongo. Nilikua nawaponda walio kua wana mtukana but this time jamaa hta akitukanwa it z ok...ana utoto mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…