Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Tena Fanya haraka usichelewee...unaweza kufa kwa rahaa...Kaka zangu wanajua kupenda wewe...
Hee mahaba niuwe tenaaa i cant wait lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Fanya haraka usichelewee...unaweza kufa kwa rahaa...Kaka zangu wanajua kupenda wewe...
Davido ameanza taarabu twitter...Kweli kabisa mkuu...tuombe
Si huyu Eshy m.s ... nikimkonyeza ananiuliza "vp, mchanga umekuingia machoni?" aaaaaaaaargh, eti anajifanya haelewi.Usijali...Ukishindwa nipe kibarua....ataelewa tuu...
Halafu ujue south ndo mapenzi yalikozaliwaa ila kabla hayajamaliza 40 yakaenda Tangaaa....
Naitamani sana hii show kama ingeoneshwa... kuna mdau kaniambia Clouds walitangaza kwamba itaoneshwa sasa sijui ni kituo/channel gani cjui manake, naitamani sana hii show hata kama itakuwa recorded!All the best Chibu
Kwa sasa Chibu ana assignment moja tu kwa hapa East Africa... Uganda! Waganda bhana wabishi sana na yale ma-dance hall yao na kwavile Kiswahili kinawapiga chenga ndo taabu moja kwa moja.Asanteni Rwanda kwa kumkubali na kumpokea vyema rais licha ya tension za kisiasa zilizopo,hiii inaonyesha ni kiasi gani muziki ni kitu kinachoweza waweka watu pamoja licha ya tofauti zao zingine..
Mlakoze.
Source: inyarwanda.com
Davido ameanza taarabu twitter...
Kwa sasa Chibu ana assignment moja tu kwa hapa East Africa... Uganda! Waganda bhana wabishi sana na yale ma-dance hall yao na kwavile Kiswahili kinawapiga chenga ndo taabu moja kwa moja.
​Diamond Platnumz
Liked · 25 mins ·A pre Rehearsal for the Glo-CAf Awards....Ndugu zangu kijana wenu niko hapa salama kabisa, na leo nlianza hatua za Mwanzo za Kulikagua Jukwaa.....kauli yetu mbiu ni moja tu "Afe Dancer afe Msanii, lakini Shangwe Lazima..!"
![]()
Davido ameanza taarabu twitter...
Kauli yake haipendezi kabisa kuiweka hapa... ingawaje hajataja jina lakini wala haihitaji shahada kufahamu anachomaanisha! Tena hata mtandao mmoja wa Nigeria nao umetafsiri kauli ya Davido kama ninavyotafsiri mimi.Anasemaje tena nae mwana mfalme????
Kauli yake haipendezi kabisa kuiweka hapa... ingawaje hajataja jina lakini wala haihitaji shahada kufahamu anachomaanisha! Tena hata mtandao mmoja wa Nigeria nao umetafsiri kauli ya Davido kama ninavyotafsiri mimi.
Anasemaje tena nae mwana mfalme????
Hivi hizo awards za CAF ambazo chibu anaperform ni leo
NANUKUU KA ALIVOTWEET
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!" hyo ni moja ya pili
" niggas forget who helped them......... so quick......God don bless me i do my thing dey go keep my name out ur mounth !! WHO U DON HELP IDIOT!
His own downfall is coming...
Dawa ipo hapo kwenye Box jekundu panaposema Kauli Mbiu Yetu ni: "Afe Dancer Afe Msanii Lakini Shangwe Lazima...!" Na kwa kuwa hakuna Dancer atakayekubali Kufa, na Kwavile Diamond Mwenyewe Hayupo Tayari Kumwachia Zari Majonzi; kilichobaki hapo SHANGWE LAZIMA...!" Yaani baada ya :violin::llama::majani7::lock1::msela::target::yo::juggle: Kitakachofuata hapo :clap2:😛eace:Huku Mashabiki nao wakisema:welcome:Again; Hata Hivyo, Saa Chache Baadae Chibu Yuleeeeee 😛lane:chukuachako ameshaweka kwenye post #3418iseme tu maana (ingawaje hajataja jina lakini wala haihitaji shahada kufaham alichosema)inaongeza kimuhemuhe cha kujua
NANUKUU KA ALIVOTWEET
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!" hyo ni moja ya pili
" niggas forget who helped them......... so quick......God don bless me i do my thing dey go keep my name out ur mounth !! WHO U DON HELP IDIOT!
dizain davido kama hajielewi.
Ila kabla hatujachambua kauli zake...kwani lazima ujumbe huo umuhusu dai? Hivi Davido kamsaidia Dai peke yake?