katochi kangu kameharibika yaan nlkuwa naumwa kutokuwepo katika hii familia,now nmepata kngine but sio kazuri maana hata hyo show ya jana sitoiona ikitupiwa kwa youtube
Jamani we katotoo. mekumissooo. Heri ya mwaka mpyaaa
mis you too mamy.mwaka upo poa vp kwa upande wako
Afadhali umerudii...Me huu mwaka we acha tuu, umeanza kwa mbwembwee huooo....naungalie utakoishia...lol
Kuupika tu? Ah, mie naupika vizuri...Basi mie na Bi mkubwa tunafaana aisee......Ugali wa muhogo umenishinda kuupika tuu...unahitajj nguvu kidogo, halafu Mimi mtoto wa baba kuvunja biskuti siwezi....ila kuula tuu, shurti naubadilishia mikao....
Dah! Pole sana manake mautamu ya humu Youtube za akina Chibu si za kukosa! Anyway, nitakuletea ki-torch changu kwahiyo usikonde...katochi kangu kameharibika yaan nlkuwa naumwa kutokuwepo katika hii familia,now nmepata kngine but sio kazuri maana hata hyo show ya jana sitoiona ikitupiwa kwa youtube
Dah! Pole sana manake mautamu ya humu Youtube za akina Chibu si za kukosa! Anyway, nitakuletea ki-torch changu kwahiyo usikonde...
Aiyaa! Kumbe nilikuwa sijaangalia kwa makini enh hilo suala!! Anyway, nitatafuta njia hata kama ni kwahiyo Bluetooth.hahaha utanipatia wapi au utanirushia kwa blutooth
Kuupika tu? Ah, mie naupika vizuri...
We njoo nao tu na hapo ndipo utakapoona, enh, kumbe huyu jamaa noma!Ntaleta unga unipikie....lol
Aiyaa! Kumbe nilikuwa sijaangalia kwa makini enh hilo suala!! Anyway, nitatafuta njia hata kama ni kwahiyo Bluetooth.
Kuupika tu? Ah, mie naupika vizuri...
Mie sina haja kabisa na nyie viumbe manake kama kuna jambo ambalo silitaki maishani mwangu ni stress. Mara zote ninapokuaga single huwa najisikia amani sana kuliko ninapokuwa na mtu...haaa kumbe unajua kupika,bila shaka wifi yetu anafaidi
mbona kama umeshakata tamaa?!haya bhana
Chibu ni bingwa wa kutumia fursa...bla shaka kolabo lnapkwa
kama hajaongea politics basi hicho ndicho fans wa Diamond tunachpenda.Kwa mujibu wa meneja wa daimond (tale) anakiri kua davido hana bifu na diamond na anasema kila siku anaongea na meneja wa davido(camara) wanapiga stori kama kawaida.
source xxl clouds fm.