Hamna kitu kibaya kama stress
huyu ni wa kusamehewa tu manake mlolongo wa posts zake unaonesha wazi kwamba yupo kwenye wakati mgumu hivyo ni wa kumsamehe tu. Kwanza jamaa ni jitu zima lakini lina kibolo pipi... huyu hapa:
Wakati anasumbuliwa na kibolo pipi kwa upande mwingine anasumbuliwa na ukosefu wa ajira:
Ilipofika March 01, 2014 akajifanya eti amepata kazi magereza; huyu hapa:
Kumbe hakufahamu kwamba Magereza hawachukui watu wenye stress wakaishia kuiba dona na maharage ya wafungwa, wakamtosa akaendelea kuhangaika. Kiwango cha stress kilipopanda kiwango cha juu kabisa, akajitia eti ujasiriamali; October 18, 2014 akajifanya eti ana sh. 50,000,000/-!!!!
October 18, 2014 ana sh. Milioni 50 na anataka kujenga guest house, lakini mwezi mmoja baadae, November 15, 2014 anaanza kuwalilia tena wana jamvi wamsaidie kupata kazi:
Kazi hana; mtu mwenyewe kibolo pipi lakini bado anataka michepuko:
Halafu anavyopenda kusaidiwa!!!! Kila kazi unayoomba unakosa, unaonaje ukienda kwa Diamond akakuajiri kama mcheza show?
[/SIZE]