Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mie sina haja kabisa na nyie viumbe manake kama kuna jambo ambalo silitaki maishani mwangu ni stress. Mara zote ninapokuaga single huwa najisikia amani sana kuliko ninapokuwa na mtu...

stress hutokea endapo utakuwa na mtu ambaye hamjapendana lakini mkipendana mbona raha tu
 
Kwa mujibu wa meneja wa daimond (tale) anakiri kua davido hana bifu na diamond na anasema kila siku anaongea na meneja wa davido(camara) wanapiga stori kama kawaida.

source xxl clouds fm.

kama ni hvyo basi ni poa sana bcoz haina haja kuwa na mabifu yasiyo na kichwa wala miguu
 
stress hutokea endapo utakuwa na mtu ambaye hamjapendana lakini mkipendana mbona raha tu
Hiyo mada ni pana... nachelea kugeuza uzi kuwa chit-chat lakini nitakupa darsa siku moja!! Hapa niishie tu kusema kwamba, kupendana ni hatua ya pili, ya awali ni kupenda...katika mazingira ya kawaida, ni ama X ataanza kumpenda Y wakati huyo Y hata wazo hilo hana kabisa au Y ataanza kumpenda X wakati huyo X hilo wazo wala halijawahi kumpitia akilini mwake! X na Y wakiunganishwa kwa namna yoyote ile, zile chembe chembe za kupenda za yule aliyenza kupenda, zinahamia kwa mwingine kidogo kidogo... this takes time, inaweza kuwa cku hiyo hiyo ama several weeks or even a year or so!Wakati mwingine, hiyo movement ya chembe chembe inaweza isitokee kabisa na hapo ndipo inapokuja hoja yako ya kwamba "hamjapendana...!" kimsingi si kwamba hamjapendana as if yeyote kati yenu hakuna aliye-fall bali mara nyingi inakuwa aliye-fall ni mmoja! Now is up to you kuamua kurusha shilingi angani huku ukifahamu fika kwamba, ama ni kichwa au mkia ndicho kitaonekana juu... na chance ya kuonekana ama kichwa au mkia ni 50%-50%!
 
nmependa uchambuzi wako@chige it means kupenda ni rahisi but kumpata anayekupenda huenda ikawa ni kaz kidogo mfano hai ni unaweza kuona watu wameoana but after six mounth wameachana hii n kutokana na huenda mmoja alzama wakat mwenzie alkuwa anaelea au sio
 
nmependa uchambuzi wako@chige it means kupenda ni rahisi but kumpata anayekupenda huenda ikawa ni kaz kidogo mfano hai ni unaweza kuona watu wameoana but after six mounth wameachana hii n kutokana na huenda mmoja alzama wakat mwenzie alkuwa anaelea au sio
kabisaaaa!!
 


Hamna kitu kibaya kama stress… huyu ni wa kusamehewa tu manake mlolongo wa posts zake unaonesha wazi kwamba yupo kwenye wakati mgumu hivyo ni wa kumsamehe tu. Kwanza jamaa ni jitu zima lakini lina kibolo pipi... huyu hapa:
Wakati anasumbuliwa na kibolo pipi kwa upande mwingine anasumbuliwa na ukosefu wa ajira:





Ilipofika March 01, 2014 akajifanya eti amepata kazi magereza; huyu hapa:

Kumbe hakufahamu kwamba Magereza hawachukui watu wenye stress wakaishia kuiba dona na maharage ya wafungwa, wakamtosa akaendelea kuhangaika. Kiwango cha stress kilipopanda kiwango cha juu kabisa, akajitia eti ujasiriamali; October 18, 2014 akajifanya eti ana sh. 50,000,000/-!!!!
October 18, 2014 ana sh. Milioni 50 na anataka kujenga guest house, lakini mwezi mmoja baadae, November 15, 2014 anaanza kuwalilia tena wana jamvi wamsaidie kupata kazi:
Kazi hana; mtu mwenyewe kibolo pipi lakini bado anataka michepuko:

Halafu anavyopenda kusaidiwa!!!! Kila kazi unayoomba unakosa, unaonaje ukienda kwa Diamond akakuajiri kama mcheza show?


[/SIZE]

hahahaaaaaaaa chige umenipa raha
 
Last edited by a moderator:
East African Top Ten Chart ya SoundCity, DiamondPlatnumz ana ngoma mbili na Mdogo Mdogo ipo namba moja shabikz.JPGnenga.JPG wameweka show yao youtube unaweza kuangalia kupitia

https://www.youtube.com/watch?v=bKybkeOMXoc
 

Attachments

  • sheeda.JPG
    sheeda.JPG
    88.1 KB · Views: 84
Show ya jana glo nitaionaje waungwana sikupata chance ya kuangalia
 
dunia kigeugeu sana yaan unaweza ukampenda mtu but yy asikupende na unaweza kupendwa na mtu then ww wala usimpende
kigeu ni dunia au watu zai katoto? na hayo uliyosema ndiyo haswa yanayotokea... kwamba unakuta unampenda mtu yeye hakupendi na yule anayekupenda unajikuta ww humpendi. Hata hivyo mkiamua, love can grow...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom