zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Mie sina haja kabisa na nyie viumbe manake kama kuna jambo ambalo silitaki maishani mwangu ni stress. Mara zote ninapokuaga single huwa najisikia amani sana kuliko ninapokuwa na mtu...
mbona kama umeshakata tamaa?!
Kwa mujibu wa meneja wa daimond (tale) anakiri kua davido hana bifu na diamond na anasema kila siku anaongea na meneja wa davido(camara) wanapiga stori kama kawaida.
source xxl clouds fm.
Hiyo mada ni pana... nachelea kugeuza uzi kuwa chit-chat lakini nitakupa darsa siku moja!! Hapa niishie tu kusema kwamba, kupendana ni hatua ya pili, ya awali ni kupenda...katika mazingira ya kawaida, ni ama X ataanza kumpenda Y wakati huyo Y hata wazo hilo hana kabisa au Y ataanza kumpenda X wakati huyo X hilo wazo wala halijawahi kumpitia akilini mwake! X na Y wakiunganishwa kwa namna yoyote ile, zile chembe chembe za kupenda za yule aliyenza kupenda, zinahamia kwa mwingine kidogo kidogo... this takes time, inaweza kuwa cku hiyo hiyo ama several weeks or even a year or so!Wakati mwingine, hiyo movement ya chembe chembe inaweza isitokee kabisa na hapo ndipo inapokuja hoja yako ya kwamba "hamjapendana...!" kimsingi si kwamba hamjapendana as if yeyote kati yenu hakuna aliye-fall bali mara nyingi inakuwa aliye-fall ni mmoja! Now is up to you kuamua kurusha shilingi angani huku ukifahamu fika kwamba, ama ni kichwa au mkia ndicho kitaonekana juu... na chance ya kuonekana ama kichwa au mkia ni 50%-50%!stress hutokea endapo utakuwa na mtu ambaye hamjapendana lakini mkipendana mbona raha tu
niambie unakaa wapi, u never know labda huwa napitaga pande hizo.si unajua tena nmeyamis ma shoo kama ya jana kwa youtube from kwa mista matuzo
niambie unakaa wapi, u never know labda huwa napitaga pande hizo.
kabisaaaa!!nmependa uchambuzi wako@chige it means kupenda ni rahisi but kumpata anayekupenda huenda ikawa ni kaz kidogo mfano hai ni unaweza kuona watu wameoana but after six mounth wameachana hii n kutokana na huenda mmoja alzama wakat mwenzie alkuwa anaelea au sio
duh... hiyo ni very unfortunate! ukisikia kisicho riziki hakiliki ndo hiyo... anyway, labda naweza kupata njia mbadala.me nipo tanga ndugu
duh... hiyo ni very unfortunate! ukisikia kisicho riziki hakiliki ndo hiyo... anyway, labda naweza kupata njia mbadala.
kabisaaaa!!
basi poa... pamoja sana wangu!fresh tu ntapata
Hamna kitu kibaya kama stress huyu ni wa kusamehewa tu manake mlolongo wa posts zake unaonesha wazi kwamba yupo kwenye wakati mgumu hivyo ni wa kumsamehe tu. Kwanza jamaa ni jitu zima lakini lina kibolo pipi... huyu hapa:
Wakati anasumbuliwa na kibolo pipi kwa upande mwingine anasumbuliwa na ukosefu wa ajira:
Ilipofika March 01, 2014 akajifanya eti amepata kazi magereza; huyu hapa:
Kumbe hakufahamu kwamba Magereza hawachukui watu wenye stress wakaishia kuiba dona na maharage ya wafungwa, wakamtosa akaendelea kuhangaika. Kiwango cha stress kilipopanda kiwango cha juu kabisa, akajitia eti ujasiriamali; October 18, 2014 akajifanya eti ana sh. 50,000,000/-!!!!
October 18, 2014 ana sh. Milioni 50 na anataka kujenga guest house, lakini mwezi mmoja baadae, November 15, 2014 anaanza kuwalilia tena wana jamvi wamsaidie kupata kazi:
Kazi hana; mtu mwenyewe kibolo pipi lakini bado anataka michepuko:
Halafu anavyopenda kusaidiwa!!!! Kila kazi unayoomba unakosa, unaonaje ukienda kwa Diamond akakuajiri kama mcheza show?
[/SIZE]
East African Top Ten Chart ya SoundCity, DiamondPlatnumz ana ngoma mbili na Mdogo Mdogo ipo namba mojaView attachment 217392View attachment 217393 wameweka show yao youtube unaweza kuangalia kupitia
https://www.youtube.com/watch?v=bKybkeOMXoc
ulipotelea wapi wewe? nilidhani uliamua kukimbia kabisa baada ya kuona nakuagizia majeshi!!!hahahaaaaaaaa chige umenipa raha
kigeu ni dunia au watu zai katoto? na hayo uliyosema ndiyo haswa yanayotokea... kwamba unakuta unampenda mtu yeye hakupendi na yule anayekupenda unajikuta ww humpendi. Hata hivyo mkiamua, love can grow...dunia kigeugeu sana yaan unaweza ukampenda mtu but yy asikupende na unaweza kupendwa na mtu then ww wala usimpende
ulipotelea wapi wewe? nilidhani uliamua kukimbia kabisa baada ya kuona nakuagizia majeshi!!!