Dah... kweli Chibu noma... nimeenda Youtube kwa ajili kuangalia nyimbo moja tu nimejikuta namaliza nyimbo tano ka' masihara hivi...
haa! Fitina za ndugu tu hizo my Eshy m.s ... huyo zai katoto tulikuwa tunapiga stori zingine kabisa! Kama ndo hivyo jeshi langu la mtu mmoja kamanda Kim nana si ningehamishia kwa zai! Kwanza jina lake lenyewe ni katoto, ndo kwanza katoto kenyewe kako darasa la kumi!! Tena kwa taarifa yako nakusubiria kule... ukinichomesha mahindi naja mi mwenyewe huko kwako.Mmh kumbe na zai katoto yumo, loh uke wenza siuwezi ngoja nijisogeze kwa Chinga One miyee.. chinge no thanx
hahahaaaaah wifi nae coach lol, lazma nilipandee kwenda ukweni
Mmh kumbe na zai katoto yumo, loh uke wenza siuwezi ngoja nijisogeze kwa Chinga One miyee.. chinge no thanx
dah! port yaani macho makavuu unataka kuniharibia ndoa yangu hivi hivi...Nime ufatilia huu mjadala kwa karibu sana nikasema ngoja nikae kando kwanza maana chige naona ana kamua kweli kweli kaanza na zai katoto mida ya mchana na sasa yuko na wewe Eshy.m.s
halafu kwa kuwa track zilikuwa zinakuja zenyewe moja baada ya nyingine mara ikaja UKIMUONA... hii ngoma sijui kama itakuja kuchuja... tena sijui kwanini haina na video.Chibu habari nyingine...Yani me playlist yake ndo inayonipa usingizi...anazitendea haki MB zangu Wallahi...
Eti... mwambie aache wivu bhana, Eshy m.s my princes, mi ni wewe tu! say something plz manake usipofuta kauli yako unaweza kunisababishia maradhi ya kukosa usingizi....Acha wivu bibiee...ila me wote kaka zangu...kokote utakohamia me nipooo...Chezea WiFi...halafu Nina gubu hatari...
halafu kwa kuwa track zilikuwa zinakuja zenyewe moja baada ya nyingine mara ikaja UKIMUONA... hii ngoma sijui kama itakuja kuchuja... tena sijui kwanini haina na video.
Enhee lazima upande hilo, SAA ya kurudi utapanda Buti LA Zungu...South raha bwana...
haa! Fitina za ndugu tu hizo my Eshy m.s ... huyo zai katoto tulikuwa tunapiga stori zingine kabisa! Kama ndo hivyo jeshi langu la mtu mmoja kamanda Kim nana si ningehamishia kwa zai! Kwanza jina lake lenyewe ni katoto, ndo kwanza katoto kenyewe kako darasa la kumi!! Tena kwa taarifa yako nakusubiria kule... ukinichomesha mahindi naja mi mwenyewe huko kwako.
Acha wivu bibiee...ila me wote kaka zangu...kokote utakohamia me nipooo...Chezea WiFi...halafu Nina gubu hatari...
Eti... mwambie aache wivu bhana, Eshy m.s my princes, mi ni wewe tu! say something plz manake usipofuta kauli yako unaweza kunisababishia maradhi ya kukosa usingizi....
hahaaaaa hayo majina ya kishkwambi flani hivi lol
hee wifi basi nichagulie kakaako unaemkubali sana, halafu ilo gubu mmmmh wanitisha
chige unalijua hili dude?
Diamond Platnumz - Kwanini (Official Audio Song) : http://youtu.be/ctAFWYVsDTo
Hii unaonaje remix wakikaa P square?
Raha ya wifi gubuuu...halafu we nshakuona unataka kunivunjia undugu na kaka zangu, eti nikuchaguliee? Chagua mwenyewe lawama sitakiii...
Raha ya wifi gubuuu...halafu we nshakuona unataka kunivunjia undugu na kaka zangu, eti nikuchaguliee? Chagua mwenyewe lawama sitakiii...
Mambo si ndo hayo... huku kwe2 ukiona alah, wale watoto waliokuwa wanacheza cheza hapa wale wapo wapi... jua waliondoka kimya kimya wapo ndaaaaaaaaaani, wanakula!eti eeeh kumbe ni fitna tu, basi twende kule hapa macho mengii
hahahaaaa namtaka yule mshkwambi flanii hiviiii