Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Dah... kweli Chibu noma... nimeenda Youtube kwa ajili kuangalia nyimbo moja tu nimejikuta namaliza nyimbo tano ka' masihara hivi...

Chibu habari nyingine...Yani me playlist yake ndo inayonipa usingizi...anazitendea haki MB zangu Wallahi...
 
Mmh kumbe na zai katoto yumo, loh uke wenza siuwezi ngoja nijisogeze kwa Chinga One miyee.. chinge no thanx
haa! Fitina za ndugu tu hizo my Eshy m.s ... huyo zai katoto tulikuwa tunapiga stori zingine kabisa! Kama ndo hivyo jeshi langu la mtu mmoja kamanda Kim nana si ningehamishia kwa zai! Kwanza jina lake lenyewe ni katoto, ndo kwanza katoto kenyewe kako darasa la kumi!! Tena kwa taarifa yako nakusubiria kule... ukinichomesha mahindi naja mi mwenyewe huko kwako.
 
Last edited by a moderator:
Chibu habari nyingine...Yani me playlist yake ndo inayonipa usingizi...anazitendea haki MB zangu Wallahi...
halafu kwa kuwa track zilikuwa zinakuja zenyewe moja baada ya nyingine mara ikaja UKIMUONA... hii ngoma sijui kama itakuja kuchuja... tena sijui kwanini haina na video.
 
Acha wivu bibiee...ila me wote kaka zangu...kokote utakohamia me nipooo...Chezea WiFi...halafu Nina gubu hatari...
Eti... mwambie aache wivu bhana, Eshy m.s my princes, mi ni wewe tu! say something plz manake usipofuta kauli yako unaweza kunisababishia maradhi ya kukosa usingizi....
 
Last edited by a moderator:
halafu kwa kuwa track zilikuwa zinakuja zenyewe moja baada ya nyingine mara ikaja UKIMUONA... hii ngoma sijui kama itakuja kuchuja... tena sijui kwanini haina na video.

Ukimuona ni hatari yani, naupenda ule wimbo Sanaa...Namshauri apige remix na Fally ipupa...na ile sauti ya jamaa plus wimbo wa simanzi....sipati picha, halafu aachie kichupa cha maana kama kawaida yake...
 
haa! Fitina za ndugu tu hizo my Eshy m.s ... huyo zai katoto tulikuwa tunapiga stori zingine kabisa! Kama ndo hivyo jeshi langu la mtu mmoja kamanda Kim nana si ningehamishia kwa zai! Kwanza jina lake lenyewe ni katoto, ndo kwanza katoto kenyewe kako darasa la kumi!! Tena kwa taarifa yako nakusubiria kule... ukinichomesha mahindi naja mi mwenyewe huko kwako.

eti eeeh kumbe ni fitna tu, basi twende kule hapa macho mengii
 
Last edited by a moderator:
Acha wivu bibiee...ila me wote kaka zangu...kokote utakohamia me nipooo...Chezea WiFi...halafu Nina gubu hatari...

hee wifi basi nichagulie kakaako unaemkubali sana, halafu ilo gubu mmmmh wanitisha
 
Eti... mwambie aache wivu bhana, Eshy m.s my princes, mi ni wewe tu! say something plz manake usipofuta kauli yako unaweza kunisababishia maradhi ya kukosa usingizi....

aisee hayo mahaba usinilaze lol, usiogope mi nawewe tenaa ka chibu na bosslady
 
Last edited by a moderator:
hee wifi basi nichagulie kakaako unaemkubali sana, halafu ilo gubu mmmmh wanitisha

Raha ya wifi gubuuu...halafu we nshakuona unataka kunivunjia undugu na kaka zangu, eti nikuchaguliee? Chagua mwenyewe lawama sitakiii...
 
looh mie mpole na hilo gubu lako si utanionea hadi nitakonda jamani
 
eti eeeh kumbe ni fitna tu, basi twende kule hapa macho mengii
Mambo si ndo hayo... huku kwe2 ukiona alah, wale watoto waliokuwa wanacheza cheza hapa wale wapo wapi... jua waliondoka kimya kimya wapo ndaaaaaaaaaani, wanakula!
 
Back
Top Bottom