Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #3,561
Mmh kumbe na zai katoto yumo, loh uke wenza siuwezi ngoja nijisogeze kwa Chinga One miyee.. chinge no thanx
dah! port yaani macho makavuu unataka kuniharibia ndoa yangu hivi hivi...
Mambo si ndo hayo... huku kwe2 ukiona alah, wale watoto waliokuwa wanacheza cheza hapa wale wapo wapi... jua waliondoka kimya kimya wapo ndaaaaaaaaaani, wanakula!
Hii ngoma kali sana halafu ajabu ni kwamba nilikuwa siifahamu. Siku nilipoisikia kwa mara ya kwanza siku kadhaa zilizopita nilichukua link ambayo uliiweka wewe! Unajua Diamond ana nyimbo nyingi sana ambazo watu wala hawazijui! Nilishangaa siku moja naenda kwa mshikaji nikakuta file lina nyimbo kibao za Diamond na nyingi nilikuwa sizijui...chige unalijua hili dude?
Diamond Platnumz - Kwanini (Official Audio Song) : http://youtu.be/ctAFWYVsDTo
Hii unaonaje remix wakikaa P square?
hahaaaaa naona chinge kakaza kweli afu mi nnahuruma ujue, ngoja nimhurumie tu
Hii ngoma kali sana halafu ajabu ni kwamba nilikuwa siifahamu. Siku nilipoisikia kwa mara ya kwanza siku kadhaa zilizopita nilichukua link ambayo uliiweka wewe! Unajua Diamond ana nyimbo nyingi sana ambazo watu wala hawazijui! Nilishangaa siku moja naenda kwa mshikaji nikakuta file lina nyimbo kibao za Diamond na nyingi nilikuwa sizijui...
Aleleleeeeeeleeee
Diamond Platinum - Kesho: http://youtu.be/QFWIYUbR4DY
Mama chinge mama, Kwa mama Chinga One nyumbaniii....
Hii ngoma kali sana halafu ajabu ni kwamba nilikuwa siifahamu. Siku nilipoisikia kwa mara ya kwanza siku kadhaa zilizopita nilichukua link ambayo uliiweka wewe! Unajua Diamond ana nyimbo nyingi sana ambazo watu wala hawazijui! Nilishangaa siku moja naenda kwa mshikaji nikakuta file lina nyimbo kibao za Diamond na nyingi nilikuwa sizijui...
Ndo mumefikia hukooo??? Mwee mweee mweeee(in senga's voice)
Ndo mumefikia hukooo??? Mwee mweee mweeee(in senga's voice)
Bwana eh... hebu lete mpya za Chibu manake tunajua huko kila siku hazikosi mpya...Ndo mumefikia hukooo??? Mwee mweee mweeee(in senga's voice)
una link ya hiyo nyimba, au? manake inawezekana naifahamu nikachemka kwenye jina...chige unaijua mapenzi basi wewe? naipenda sana hii nyimbo mwenzio
una link ya hiyo nyimba, au? manake inawezekana naifahamu nikachemka kwenye jina...