Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

chige unalijua hili dude?

Diamond Platnumz - Kwanini (Official Audio Song) …: http://youtu.be/ctAFWYVsDTo

Hii unaonaje remix wakikaa P square?
Hii ngoma kali sana halafu ajabu ni kwamba nilikuwa siifahamu. Siku nilipoisikia kwa mara ya kwanza siku kadhaa zilizopita nilichukua link ambayo uliiweka wewe! Unajua Diamond ana nyimbo nyingi sana ambazo watu wala hawazijui! Nilishangaa siku moja naenda kwa mshikaji nikakuta file lina nyimbo kibao za Diamond na nyingi nilikuwa sizijui...
 
Hii Kali, sipatii picha huo mnogo wake akishaitolea video ..na vile anapenda kucheza...kama Wacko Jacko vilee...
 
Hii ngoma kali sana halafu ajabu ni kwamba nilikuwa siifahamu. Siku nilipoisikia kwa mara ya kwanza siku kadhaa zilizopita nilichukua link ambayo uliiweka wewe! Unajua Diamond ana nyimbo nyingi sana ambazo watu wala hawazijui! Nilishangaa siku moja naenda kwa mshikaji nikakuta file lina nyimbo kibao za Diamond na nyingi nilikuwa sizijui...

kuna iyo inaitwa sipendi lawama naipenda aisee hatari iko ya taratibu flani hivi
 
Back
Top Bottom