Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

cd yenye collection naweza kununua hata kwa 50,000/-..........hivi kwani hawatengenezi kitu kama 'DIAMOND TOP 10 HITS' AUDIO/VIDEO CD COLLECTION??? Mpaka tunaenda kuburn vibandani?!

aisee hizo huwa zinatengenezwa na wahuni asee
 

wafatilie vizur utagundua hesabu yao ni numbered balaaa
 
tatizo mi badooooo.




....

nilipo teleza nikosea sipajuiiiiii mpakaaaaaa
 
Atapiga siku ya mwaka mpya....wengine mwaka mpya watakua leaders labda hahahahaha......mtu anaenda kupiga amahoro stadium juu kakaa Kagame,si mchezo atiiiii

Wamuache kijana Avune alicho Panda,Chuki hazisaidi lolote sana sana kujiumiza tu.
 
marhabaa...hawa watoto huwa tunawasikiliza kimya kimya na tunawakubali......sasa watu wakianza kuwaponda kwa chuki binafsi haivumiliki....dogo anajitahidi yuko vizuri

Wivu ni tabia mbaya mtu akijuma mwache avune anachopanda isitoshe anatuburudishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…