Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ukimuona ni hatari yani, naupenda ule wimbo Sanaa...Namshauri apige remix na Fally ipupa...na ile sauti ya jamaa plus wimbo wa simanzi....sipati picha, halafu aachie kichupa cha maana kama kawaida yake...

Fally ipupa akikaa kwenye kizai zai ndo itakua mzuka zaidi..
 
We Innocizy umegoma kurudi eenh....Guys usiku mwema...nararaaaa...manake naona nairembulia screen tu hapa...much love to u team Wassssssafiii...

Nilienda yutyubu.....ujue ukienda kule kama ulisema utazame nyimbo mbili unajikuta unakaribia malizia nyimbo ya 30..........ndo mana nataka nimuhame huyuu dogo ananimalizia tu GB twangu....yaani nahaha Mara insta Mara jf Mara yutyubu Mara fb....twita tu ndo kulinishindaga miyeeee,na nashukuru na yeye chibu kule hakai sana......
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa kumbe wakumaliziwa gb tupo wengi, ila tunashow love usihame kwa ajili ya afya yako..
 
mdogo mdogo.. mdogo mdogo...

Bhasi mm hapo ikifikaga pale lile lipambe la mfalme linavocheza kiwizi wizi hafu linajistukia huwa nacheka balaa aseeeee hahahahaha.....yani ulivosema hio mdogo mdogo nikamkumbuka huyo mpambe.
 
Bhasi mm hapo ikifikaga pale lile lipambe la mfalme linavocheza kiwizi wizi hafu linajistukia huwa nacheka balaa aseeeee hahahahaha.....yani ulivosema hio mdogo mdogo nikamkumbuka huyo mpambe.

Hahah lile jamaa linachekesha kweli..
 
Hahahaaaaa ila kale kanyimbo kana mzuka flani hivi

Ila mm zije zote ila wale wadada wa kwenye number 1 wale daaaaah......haswaaa yule wa pale kama inapozi kidogo eti "aii" yule mm huwa ananimalizamo(in haya's voice)
Hata huyuu Melisa huyuu wa kwenye ntampata wapi nae daaah.....
 
melisa ni chechee amenikoshaa sanaa,
kuna ile dance ya moyo wangu nayo huwa sichoki kuiangalia
 
melisa ni chechee amenikoshaa sanaa,
kuna ile dance ya moyo wangu nayo huwa sichoki kuiangalia

Sasa mwenzako nna ile show ya Dodoma fiesta mwaka 2012 ile anakaribishwa jukwaani na wema......napenda sana wimbo wa mawazo na ukiwa kule mwishoni anaingiza maneno "nampenda mpenda" bhasii watu unasikia wemaaaa.....hahaha.
Mawazo naupenda sana aseee
 
Nna show moja ya AFRIMMA award, first aliingia davido na gobe yake kukawa hamna shangwe kiviile... alipoingia chibu sasa na my no 1 remix nazile stile zake za kucheza kukawa full shangwe na anavyojua kuwamaliza sasa akiwa on stage ukiitazama unatamani kurudia tena na tena... afu davido hajui kucheza akawa anazugazuga tu pale
 
Wallah hata mimi nitamuhama huyu dogo manake dah, ananitia short ile mbaya! Jana Kim nana kanipa link ya Youtube, hee! Si nikajikuta nimehamia kabisa... kutahamaki, nimeangalia nyimba tano wakati iliyokuwa imenipeleka kule ni Kwanini! Yaani kilichopo kwa Chibu hapa TZ ni kama kuifanya Arsenal ishiriki ligi kuu ya Vodacom... mtu gani huyu, mituzo yote yeye; show zote yeye, totoz zote zenye tbs yeye, kwa JK yeye, video zilizoenda shule, yeye... aaaaaargh! The guy ain't no fair at all...
 
Last edited by a moderator:
Diamond n Paul wakati paul alipotamka Tomaaaas wakati akijaribu kuimba mdogomdogo..
(Mdogomdogo ndio moja ya nyimbo zinazomkosha )

Hahahaha imenichekesha sana hii... good morning
 
Attachments

  • 1420863333859.jpg
    38.1 KB · Views: 100
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…