kuweka link mbona simpo tu... anyway, ngoja nijaribu kui-search...utaalamu wa kuweka link hata sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuweka link mbona simpo tu... anyway, ngoja nijaribu kui-search...utaalamu wa kuweka link hata sina
dah, nimeipata hiyo nyimbo... tamu aisee! nakumbuka niliwaahi kuisikiliza kama mara moja au mbili hivi lakini nilishasahau hata jina lakeutaalamu wa kuweka link hata sina
dah, nimeipata hiyo nyimbo... tamu aisee! nakumbuka niliwaahi kuisikiliza kama mara moja au mbili hivi lakini nilishasahau hata jina lake
chige unalijua hili dude?
Diamond Platnumz - Kwanini (Official Audio Song) : http://youtu.be/ctAFWYVsDTo
Hii unaonaje remix wakikaa P square?
Ukimuona ni hatari yani, naupenda ule wimbo Sanaa...Namshauri apige remix na Fally ipupa...na ile sauti ya jamaa plus wimbo wa simanzi....sipati picha, halafu aachie kichupa cha maana kama kawaida yake...
Hahahaaa...vipi kwani kuna MTU kaibiwa?
Hapana thomaaaaaaaaas
We Innocizy umegoma kurudi eenh....Guys usiku mwema...nararaaaa...manake naona nairembulia screen tu hapa...much love to u team Wassssssafiii...
Nilienda yutyubu.....ujue ukienda kule kama ulisema utazame nyimbo mbili unajikuta unakaribia malizia nyimbo ya 30..........ndo mana nataka nimuhame huyuu dogo ananimalizia tu GB twangu....yaani nahaha Mara insta Mara jf Mara yutyubu Mara fb....twita tu ndo kulinishindaga miyeeee,na nashukuru na yeye chibu kule hakai sana......
mdogo mdogo.. mdogo mdogo...
Bhasi mm hapo ikifikaga pale lile lipambe la mfalme linavocheza kiwizi wizi hafu linajistukia huwa nacheka balaa aseeeee hahahahaha.....yani ulivosema hio mdogo mdogo nikamkumbuka huyo mpambe.
Hahah lile jamaa linachekesha kweli..
Hasa ile cheza yake kama limekanyaga mwiba hahaha
Hahahaaaaa ila kale kanyimbo kana mzuka flani hivi
Ila mm zije zote ila wale wadada wa kwenye number 1 wale daaaaah......haswaaa yule wa pale kama inapozi kidogo eti "aii" yule mm huwa ananimalizamo(in haya's voice)
Hata huyuu Melisa huyuu wa kwenye ntampata wapi nae daaah.....
melisa ni chechee amenikoshaa sanaa,
kuna ile dance ya moyo wangu nayo huwa sichoki kuiangalia
Sasa mwenzako nna ile show ya Dodoma fiesta mwaka 2012 ile anakaribishwa jukwaani na wema......napenda sana wimbo wa mawazo na ukiwa kule mwishoni anaingiza maneno "nampenda mpenda" bhasii watu unasikia wemaaaa.....hahaha.
Mawazo naupenda sana aseee
Wallah hata mimi nitamuhama huyu dogo manake dah, ananitia short ile mbaya! Jana Kim nana kanipa link ya Youtube, hee! Si nikajikuta nimehamia kabisa... kutahamaki, nimeangalia nyimba tano wakati iliyokuwa imenipeleka kule ni Kwanini! Yaani kilichopo kwa Chibu hapa TZ ni kama kuifanya Arsenal ishiriki ligi kuu ya Vodacom... mtu gani huyu, mituzo yote yeye; show zote yeye, totoz zote zenye tbs yeye, kwa JK yeye, video zilizoenda shule, yeye... aaaaaargh! The guy ain't no fair at all...Nilienda yutyubu.....ujue ukienda kule kama ulisema utazame nyimbo mbili unajikuta unakaribia malizia nyimbo ya 30..........ndo mana nataka nimuhame huyuu dogo ananimalizia tu GB twangu....yaani nahaha Mara insta Mara jf Mara yutyubu Mara fb....twita tu ndo kulinishindaga miyeeee,na nashukuru na yeye chibu kule hakai sana......
Kabisaaaaaa, manake kila siku wanatafuta la kuongea...Kashakataa remix anatoa vipyaaaa.....remix haters wataanza sema kaishiwa....labda washirikishwaji waseme wanautaka huooo.....