Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"
C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,
Hili jukwaa leo mbona limepooza namna hii? Jana tumeongea mambo yaliyo nje ya mada jukwaa likachangamka ile mbaya!Yalaaa, na ule msebene, sipati picha yani....
Dah... leo niliku-miss ile mbaya... uko poa lakini?Yalaaa, na ule msebene, sipati picha yani....
Dah... leo niliku-miss ile mbaya... uko poa lakini?
Aisee! Hongera kwa kuwa tight, wengine tunakuwa tupo tupo tu the whole day!Niko poa sana...Leo siku ilikuwa tight kidogoooo....
Aisee! Hongera kwa kuwa tight, wengine tunakuwa tupo tupo tu the whole day!
Poaa, nlijua ushahama team bwana, sio vizuri hivo uwe unapita kutupa hata hi...
hahaha sijaama hapa ni nyumbani any time naingia.. #TeamChibu
mnh! saa 9 ucku upo online?Kawaida tuuu....me Leo nlikuwa tight by emergency hahahaaa
Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua,
Licha ya burudani na mapenzi yangu akatimua.
Kile kinanda sasa "tilii tilililiii tilii tililiiiiiiiiii"
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"
C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,
Hahahaha... Ngoma hii haijawah chuja maskioni mwangu.