Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"

C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,

Hii nimeshapiga..Mungu asaidie chibu aibebe
 
Diamond Platnumz-Burundi 28-12-2014

Last edited by a moderator:
Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua,
Licha ya burudani na mapenzi yangu akatimua.

Kile kinanda sasa "tilii tilililiii tilii tililiiiiiiiiii"

Hahahaha... Ngoma hii haijawah chuja maskioni mwangu.
 
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"

C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,

Im RIGHT THERE.., JUST VOTED. THANX.
 
hivi diamond alipokua anapafom "ukimwona" Darlive kuna maneno ya rap alikua anayatamka mwishoni, ni mageni kwene original song hayapo, kuna yeyote anaweza nipa ile mistari
NB: inafuata baada ya " .. kaka jirani, nenda mwambie fulani, hata mama nyumbani ajue ye ndo roho yangu " pale kwene " mwambie mwenzake nshapoteza dira ..." na kuendelea

cc Chinga One , Kim nana , chige , Innocizy , data
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom