zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Ukijua kutakia watu ucku mwema, ujue vilevike kuwauliza wameamkaje, we mtoto vipi!!! Haya, upo poa wewe?
sie tupo poa ile mbaya... naona jamvi limedoda leo! watu wanakuja na kusepa...haaa nlipitiwa kdogo hope mpo poa.me mzma xna braza
sie tupo poa ile mbaya... naona jamvi limedoda leo! watu wanakuja na kusepa...
Aisee... we acha tu; mwenyewe natafuta mtu wa kunisadia hapa lakini simuoni!bila shaka watakuwa wapo bze
tusisahau kupiga kura ili tuendeleze mwendo wetu wa matuzo
kama kawa kama dawaaaa
Ushavote?
Yeah, right now nipo u tube nachek shows za diamond no stress any more
Apo unajua alikuwa anamwambiaje #diamondi
dogo unajua staili zako za kuja kuchukua tuzo mpaka nyumbani kwetu unapeleka kwenu unatuacha wakavu wakati sisi tumeanza kitambo mpaka rikilosi anatujua alafu wew unajitia mjuaji mimi simaindi bro kasema anakutamani kishenzi dogo wew
na olewako uludie tena ntakata masikio haya tuone zali kama atakupenda tena shaaaaabashhhhh
Team no stress oyeee..

Hiiii kapusheni hiiiiii..............
hii ngoma ya platnumz imevuja, should we promote it ama tulay low?
cc kimugina , Innocizy , chige , Chinga One , zai katoto , Kidingi , Eshy m.s