Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sijawahi kusikia nyimbo mbaya ya diamond... iko poa
ni nzuri tu mno, tatizo mi napata shida kuisikiliza..hapa nnapoishi hua nazipinga sana hizi nyimbo halaf wakisikia nasikiliza ntaonekana sina msimamo...nimei play kama mara 20 ila kiheadphone headphone tu
 
Kama itakuwa ni mduara atakuwa amenikamata coz', napenda ngoma zenye vionjo vya asili...
 
ni nzuri tu mno, tatizo mi napata shida kuisikiliza..hapa nnapoishi hua nazipinga sana hizi nyimbo halaf wakisikia nasikiliza ntaonekana sina msimamo...nimei play kama mara 20 ila kiheadphone headphone tu

hahahaaaa ndo uanze kuzipenda basiii, unazugia kuwaambia diamond kanifanya nizipende hizi nyimbo hahaaaa
 
Mkuu BestOfMyKind,
Unaweza kuicheki vizuri hiyo link manake hai-display! Au kama vipi, nitajie jina la wimbo nii-search!
 
Last edited by a moderator:
Kidingi umetisha sanaaaaaaaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Uuuuh wimbo mzuri...halafu kama dongo vileee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…