Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Uuuuh wimbo mzuri...halafu kama dongo vileee...
hii ngoma ya platnumz imevuja, should we promote it ama tulay low?
cc kimugina , Innocizy , chige , Chinga One , zai katoto , Kidingi , Eshy m.s
We bwana weee... ushaniambia kuna nyimbo mpya ya Diamond unadhani ningekaa nisubirie link tena? Thubutu... nilishaisaka mwenyewe zamani coz' link ambayo uliitoa ingawaje ilikuwa haifunguki, lakini ukiisoma kwenye address bar ilikuwa ina-display jina la wimbo kwahiyo hapo hapo nikaiibukia Google! Thanks anyway... c.c Eshy m.spoa poa, pole kwa kukuchelewesha nlitoa link ya server nliodownloadia kumbe it doesn't work that way...link ni hii
https://www.hulkshare.com/bongoswaggz/diamond-platnumz-nasema-nawee
Uuuuh wimbo mzuri...halafu kama dongo vileee...
pamojaWe bwana weee... ushaniambia kuna nyimbo mpya ya Diamond unadhani ningekaa nisubirie link tena? Thubutu... nilishaisaka mwenyewe zamani coz' link ambayo uliitoa ingawaje ilikuwa haifunguki, lakini ukiisoma kwenye address bar ilikuwa ina-display jina la wimbo kwahiyo hapo hapo nikaiibukia Google! Thanks anyway... c.c Eshy m.s
pamojaAhsante kwa taarifa dah jamaa anajuwa... mwanzoni nlikuwa naona tu mistari yake insta nkasema hii kitu inatoka lini?
Karubu nyumbani Paula kilaki... home of No Stress... home ambako sebule inaboa kutokana na mijituzo iliyorundikana hadi mlangoni na vitu vipya vya kila leo kama hivi hapa! Sie wa Uswahilini ndo katuweza kweli kweli hapa: https://www.hulkshare.com/bongoswaggz/diamond-platnumz-nasema-naweeumeuskia wapi nana?
Uuuuh wimbo mzuri...halafu kama dongo vileee...
Karubu nyumbani Paula kilaki... home of No Stress... home ambako sebule inaboa kutokana na mijituzo iliyorundikana hadi mlangoni na vitu vipya vya kila leo kama hivi hapa! Sie wa Uswahilini ndo katuweza kweli kweli hapa: https://www.hulkshare.com/bongoswaggz/diamond-platnumz-nasema-nawee
hahahaaaaa na leo tena nyama mmmh tunawaunguza pua jamaniiiiii
Diamond kawa mtaaamu Wallahi...
Hapa tunacheza taratiiiibu hatutoi jasho
Kidingi kila nikiquote inakataaa....ndo basis tena ntakwambia siku nyingine
Huko mwisho mwisho sasaaa...tunaangusha moja moja...
"Na leo tena nyama, ahaaaa, hizi sasa sifa... tunaumizana pua jamani!" Ama kweli majirani wa Bwana Mcharo wanakosa kufa tu lakini cha moto wanakiona....hahahaaaaa na leo tena nyama mmmh tunawaunguza pua jamaniiiiii
Kutwa kiguuru njian majiran wote wamekuchoka mara chumba ch fulan mtugan kwako usokaa washnda vibarazan yawenzako kuropoka ukome mwana fulan öna uso ulivokukoboka si mrushwa vibaon had kwnye vigodoro uso na haya uson kote wazua migogoro iv we aujion kuwa unakasoro nasema nawe *2
Hehheheeiyaaaaa nakupenda chibu huwa hukosei wallah .....
Dingo lako fulan Kama so lako lajirani yako