Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Aiii Kidingiii...rudia tena, sijasikia etiii...
 
Last edited by a moderator:
ni nzuri tu mno, tatizo mi napata shida kuisikiliza..hapa nnapoishi hua nazipinga sana hizi nyimbo halaf wakisikia nasikiliza ntaonekana sina msimamo...nimei play kama mara 20 ila kiheadphone headphone tu

Haaaaaaaaaaah daimond jamani anaandika kinoma hii nyimbo kama angeendelea hivi! Katamu kinoma
 

Nimeupata huo wimbo, its a new Diamond.. Video kama naisoma itavyokua...
Mduara, viuno mwanzo mwenga....!!
 
Usiku wa jana diamondplatnumz alipost ujumbe huo na kuambatanisha picha ya ultra sound aliyopiga zari kuwa yupo mbioni kupata mtoto.. na baada ya dakika chache akaufuta.. sambamba na hilo zari nae alipost ujumbe akiwa anachukuliwa vipimo hivo vya ultrasound kwaajili ya kuangalia mimba inaendaje.. na kwa tulio fatilia comment katika page ya zarithebosslady tuliona diamond kacomment neno (LOL) kuashiria amefurahia.. lakin post hizo zote hazikudumu sana wakazifuta..lakin Udakutz imefanikiwa kuzinyaka.. so DIAMOND NA ZARI SASA TUNAWEZA SEMA NI BABA KIJACHO NA MAMA KIJACHO.. WACHA PROJECT IENDELEEE.. hapa...
Mwaka mpya diamond huenda akajaaliwa mtoto..

Mjumbe hauwawi quoted instagram
 

Attachments

  • 1421215386618.jpg
    50.4 KB · Views: 94
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…