Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Safi sana mungu ni mwema ahsante sana zari! Huyu mwanamke anajitambua sana!
 
Kusema ukweli mwanzoni nlikuwa simkubali kabisa. Ila sasa namkubali mpaka inaboa. Ila cha msingi ajitahidi kuimba beyond mapenzi. Unless otherwise he is doing well
 
Aiseee...!!!
 
Last edited by a moderator:
nimesikia nyimbo ya chibu kaimba maadhi ya style za akina AT unaitwa naongea na wewe sijui kauachia au umevuja ila nimeupenda ni mzuri.
I am sure kuna watakaodai kamwimbia wema.
 
Kuna wengine watadai ni Dogo kwa team pinzani pia.....
Hio ndo raha ya kuwa fanani...unaachia hadhira ijitaftie majibu yenyewe.
 
mwenzako mimi turufuu, si garasaa.. mwenye nyota ya umaarufu.. si kupapasaaa... tena jokeri la nguvu kwa karataa ile hodari manguvu si kwasakwasaa... hahaaa sijui ndo ivo lol raha sana kuimba jaman
cc: Kim nana Paula kilaki chige
 
Last edited by a moderator:
mwenzako mimi turufuu, si garasaa.. mwenye nyota ya umaarufu.. si kupapasaaa... tena jukeri la nguvu kwa karataa ile hodari manguvu si kwasakwasaa... hahaaa sijui ndo ivo lol raha sana kuimba jaman
cc: Kim nana Paula kilaki chige

Aiseeerrr....hebu endelea tenaaaaa na sauti yako nzuri kweli(nimeisikia mawazoni)
 
kutwa kiguru njiani majirani wote wamekuchokaa...mara chumba cha fulani.. mtu gani we kwako usiokaaa... washinda vibarazaniii.. ya wenzakoo kuropokaa.. ukome mwana fulani ona uso ulivyokukobokaaa...

hahaaa aisee hii inaitwa makavu liveee
 
Me sijakariri mpaka nsikie akiimba
 
Hahaa mi naisikiliza hapa

Me nimeweka headphones hapaa naisikiliza.....sio fair kwa hiii ngoma iwe kama ukimwona au lala salama aseeee.....aifanye kama mdogo mdogo....licha kuvuja aendelee kuitoa pamoja na video.
 
mwenzako mimi turufuu, si garasaa.. mwenye nyota ya umaarufu.. si kupapasaaa... tena jukeri la nguvu kwa karataa ile hodari manguvu si kwasakwasaa... hahaaa sijui ndo ivo lol raha sana kuimba jaman
cc: Kim nana Paula kilaki chige

Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
USO mila desturi, usojua kutongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli, uongo umekujaa
kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaaa...

Jamani maneno kayatupaaa...
 
Last edited by a moderator:
Me nimeweka headphones hapaa naisikiliza.....sio fair kwa hiii ngoma iwe kama ukimwona au lala salama aseeee.....aifanye kama mdogo mdogo....licha kuvuja aendelee kuitoa pamoja na video.

Yeah ngoma kali sana,, yani kadri nnavoendelea kuisikiliza ndo nazidi kuipenda aitendee haki aiser
 
Me nimeweka headphones hapaa naisikiliza.....sio fair kwa hiii ngoma iwe kama ukimwona au lala salama aseeee.....aifanye kama mdogo mdogo....licha kuvuja aendelee kuitoa pamoja na video.

Heee...mwenyewe nipo na earphones kwa bed....nimeurudia kama Mara tatu hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…