Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!
MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!
Kwenye maisha unapaswa kujifunza na kujitafakari. Jibu mtalipate Zari akishakamilisha mission yake. Ni swala la muda tu.
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!
MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!
MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!
ishu ipi mkuu? cc datahii ishu kwa sasa ni bora kukaa kimya tu kuliko kujifanya mjuaji amini nakuambia kuna siku hapa watu watakuja kuumbuka kwa kujifanya "much know",chibu sio mjinga.
nahisi ni mwendelezo wa kiki hawapo sereous sitaki kuamim kabisa
kwahiyo ile ultra sound ni feki...?
Nimeingia play store leo nikakuta DIAMOND PLATNUMZ APPLICATION....heko kwa aliyetengeneza.....nimeshaipakua tayari.
Usikonde petrinamwana, utalipwa na Kamanda Chibu wa track zilizopitia kuta za darasa!Alafu tutlipwA au hahaha maanake mjini Kila kiu hela hkuna shamba mjini hapa tu panatosha kumpa support maanake mb zinaisha haha
nahisi ni mwendelezo wa kiki hawapo sereous sitaki kuamim kabisa
Mie sina shaka kabisa kwamba ile kitu ni real sema nadhani, ama wao wenyewe au kuna watu waliwatonya kwamba kuweka hadharani issue kama hizo wakati ni mapema sana sio jambo la busara na ndio maana wakaamua kutoa fasta!kwahiyo ile ultra sound ni feki...?
Na nilishawahi kumuuliza anasemaje kwamba muziki wake utaishia Tandale wakati umeshavuka hata East Africa!!! Nadhani jamaa is back 2008 wakati Diamond ana-rap... kuna kila dalili kwamba huenda wala hafahamu kwamba kuna nyimbo inaitwa Nenda Kamwambie ambayo ndiyo ilimtoa huko Tandale almost six years ago...Huo Ndio Wimbo Wako Kila Siku,siasa Imekushinda Sasa Una Hamia Kwa Chibu Utamuweza?
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!
MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!
Na nilishawahi kumuuliza anasemaje kwamba muziki wake utaishia Tandale wakati umeshavuka hata East Africa!!! Nadhani jamaa is back 2008 wakati Diamond ana-rap... kuna kila dalili kwamba huenda wala hafahamu kwamba kuna nyimbo inaitwa Nenda Kamwambie ambayo ndiyo ilimtoa huko Tandale almost six years ago...
Mkuu Innocizy,
Kwanza sorry nimechelewa ku-repsond kwenye proposal yako coz' I was kinda busy wit my beautiful Princess!
Kuhusu proposal yako ni bonge la proposal, sio tu kwa sisi bali endapo WCB Management wangeamua kutumia this approach coz' ingewahakikishia Strong Fans Base. Tatizo hawa watu wakati mwingine wanakuwa wazito katika opportunities in other way around... huwa wana-stick na kile kilichopo mbele yao. Leo hii mtu akiamua ku-work out with the proposal, itabidi awe tayari kutumia muda kibao kwa ajili ya kuwafuatiliwa tu hawa akina Tale! Anyway, huyu Babbu Tale sina uzoefu nae, lakini mchukulie Said Fella kwa mfano, huyu bwana mie nina kadi yake ya benki ambao ninayo mikononi mwangu tangu 2008... ilikuwa kila siku tunafanya kazi ya kupishana tu... tunawasiliana, lakini tunashindwa ku-meet! Kwahiyo, hata sasa, mtu akiamua kukutana na mtu kama Fella basi inabidi awe tayari kuacha kila kitu na kuanza kumfukuzia yeye tu!
Umuofia kwenuu!!
Jana nilitoa hints juu ya hoja yangu,nayoo ni hiii..
Humu jf kama tulivoanzisha Uzi huuu,bhasi kwa watakao kuwa tayari pia mkuu chinga one na chige wanaweza kutuunganisha tukawa kama kama a supportive group ya chibu ambayo inakua inashiriki kwenye shows muhimu zq dai for example ile ya diamonds are forever.....tunajiorodhesha na our jf IDs(ili kuendelea kulinda our privacy ya jf) so mfano dai ana show mwanza then wale walio mwanza na wengine wataoweza hudhuria hio show wanapewa treatment zote kama supportive and die hard fans wa dai....hiii ni pamoja na kupata wasaa wa mazungumzo kidogo backstage ili kumshauri hapa na pale..
Hili linawezekana vipi???
Dai ana WCB ambayo ni kampuni yake.so sisi tunaomba kuwa kama kuwa tawi la wcb jamii forums kama ambavyo kuna wcb mpaka Rwanda na Burundi. Hili linawezekana kwa kuaandaa a certain electronic letter ambayo tunaweza ituma kwa managers wake kama tale au fella au salaam ambao naona kwa kuwa ni wengi its easy to get one of them ili kumueleza hio kitu.
Malengo inakuwa ni kumpa sapoti msanii wetu ktk shows zake na ktk kazi zake.pia kumpa ushauri ili aendelee kukua zaidi hata zaidi.pia iwe ni fursa kwa wadau na mashabiki kupata nafasi ya kuweza kupata mawili matatu toka kwake....na mambo mengine yataendelea zaidi na zaidi kadri itavyoonekana inafaa.
Asanteni.
Nisameheni kwa gazeti jamani kujieleza kazi sana???
haya mawazo mazuri mnoanzeni kwenye mizizi mameneja lazima mtapata tabu mnaweza anza na majamaa wawili ambao chibu anawatambua kama ni mashabiki zake kuna (oscaniseth)kama sijakosea au jamaa mwingne anaitwa prince wako insta wale wanaweza wasogeza kwa team yenyewe kwa sababu wanatambulika na watawapa sapoti kwa sababu wote ni team moja "ni wazo tu"
TOFAUTISHA MSABALA NA KUJUmLISHA HAPA: [MENTION=11076]diamondplatnumz ..
..
*msanii wa kwwnza Tz kutoa ajira nyingi kwa vijana tena zenye maslahi makubwa *Msanii wa kwanza Tz kumiliki na kuongoza Crew ya watu wasafi tuu
1. Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za Channel O
2. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili music awards
3. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo kubwa duniani za BET
4. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards
5. Msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria 'Future awards'
5. Msanii wa kwanza Tanzania mwenye influence kubwa zaidi kuwahi kutokea
6. Msanii mwenye influence kubwa ktk social networks
7. Msanii anayelipwa pesa nyingi zaid kwenye show kuliko msanii yeyote africa mashariki
8. Msanii mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote afica mashariki.
10. Msanii aliefanya kazi kubwa zaidi kuinua maslahi ya wasanii katika shows, kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake (hata wanaomchukia/wanaoshindana nae cjui wwngekua wapi leo??)
11. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kufanya collable nyingi za nje.
12 Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na video nyingi zenye views zaidi ya million mbili youtube.
13. Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehem yeyote East & Central Africa na akajaza uwanja wa mpira peke yake.
14. Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.sifa zinaendelea ongeza na wewe..
15-Msanii wa kwanza Tz ambae anajua kuvaa kuendana na fashion inasemaje na uvaaji wake umekua mfano kwa kila.kijana wa kileo..
16-Msanii anayeongoza kuwapatia riziki wanahabari yaani magazeti & blogs kupitia habari zinazomuhusu
Ongeza hapo