Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Naombeni msaada wandugu huyu dai atanifelisha, nifanyeje? I can't stop listening & watching his music/performances.
Hahahaha ndo haiwezekani hio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni msaada wandugu huyu dai atanifelisha, nifanyeje? I can't stop listening & watching his music/performances.
mnh! Naona unaingia na promo za kwenu sasa... umeanzisha mgahawa nini?! Mwanza Mwanza joto hakuna, sawa lakini baridi nalo linakera! Heri ya Mwaka Mpya...Jamani nimewamissije wadau wangu team yangu ni ubusy tu hadi napotea ,jamani Kim nana chige tofali Heaven on Earth Chinga One data bila kukusahau wengine majina kuyaandika ni shidaa nawapenda mpaka naumwa mwenzenu karibuni Mwanza mji ulojaaliwa hakuna joto,wala foleni hali ya hewa tambararee ,vyakula vya kila aina tunavyo,panya road hawasogei mwisho Dar teh...
.,team Daimond forever
Wazo lako ni zuri sana sema sie wengine hata huko Instagram hatupo. Hata hivyo, unaonaje kama umewa-follow hao jamaa ukaanza kuchonga nao kiaina?anzeni kwenye mizizi mameneja lazima mtapata tabu mnaweza anza na majamaa wawili ambao chibu anawatambua kama ni mashabiki zake kuna (oscaniseth)kama sijakosea au jamaa mwingne anaitwa prince wako insta wale wanaweza wasogeza kwa team yenyewe kwa sababu wanatambulika na watawapa sapoti kwa sababu wote ni team moja "ni wazo tu"
Wazo lako ni zuri sana sema sie wengine hata huko Instagram hatupo. Hata hivyo, unaonaje kama umewa-follow hao jamaa ukaanza kuchonga nao kiaina?
Jamani nimewamissije wadau wangu team yangu ni ubusy tu hadi napotea ,jamani Kim nana chige tofali Heaven on Earth Chinga One data bila kukusahau wengine majina kuyaandika ni shidaa nawapenda mpaka naumwa mwenzenu karibuni Mwanza mji ulojaaliwa hakuna joto,wala foleni hali ya hewa tambararee ,vyakula vya kila aina tunavyo,panya road hawasogei mwisho Dar teh...
.,team Daimond forever
mnh! Naona unaingia na promo za kwenu sasa... umeanzisha mgahawa nini?! Mwanza Mwanza joto hakuna, sawa lakini baridi nalo linakera! Heri ya Mwaka Mpya...
Hali ni ya kawaida hakuna baridiiii,lazima usifie kwenyuu au siooo,mgahawa sijafungua nikifungua ntakujulishaa hehee,,,,,nawe pia heri ya mwaka mpyaaaa
Hivi mmepitia hapa kwenye blogs za Nigeria kuhusiana na president chibu dangote
http://www.bongo5.com/kamwambie-ya-...ingine-zaitambulisha-kama-ngoma-mpya-01-2015/
Hahahaha hao jamaaa sasa hahaha
Dangote haishi kuwa habari ya mjini
Ni kweli nasikiliza XXL hapa Billionare Dangote nasikia amekopa million 10 zinahitajika kwenye marejesho.
Lakini mwishoni ni habari isiyo na uthibitisho so kwa mtu anayejielewa ni udaku niwaachie waliozoea.. pia amesema kesho tutapata fuu story juu ya hili so mapema sana kutoa maoni
SOMA HAPA MENEJA WA WEMA SEPETU AKIONGELEA HII
👇👇👇
http://www.bongo5.com/wema-hajampeleka-diamond-mahakamani-martin-kadinda-01-2015/
Nimesoma sehemu meneja wa Wema amekanusha.Lakini mwishoni ni habari isiyo na uthibitisho so kwa mtu anayejielewa ni udaku niwaachie waliozoea.. pia amesema kesho tutapata fuu story juu ya hili so mapema sana kutoa maoni
SOMA HAPA MENEJA WA WEMA SEPETU AKIONGELEA HII
👇👇👇
http://www.bongo5.com/wema-hajampeleka-diamond-mahakamani-martin-kadinda-01-2015/
Nipotelee wapi? Mimi ndio niliyeandika taarifa hizo gazetini? au unadhani mimi ni jobless Team sina kazi zangu ambazo zinahitaji muda wangu?Naona jamaa yako kapotea kama sio yeye vile hahahahah
Nimesoma sehemu meneja wa Wema amekanusha.
Nipotelee wapi? Mimi ndio niliyeandika taarifa hizo gazetini? au unadhani mimi ni jobless Team sina kazi zangu ambazo zinahitaji muda wangu?
Akili za kitoto hizi.
Good news wana jf nadhani tutalala poooaa..
Kwa miezi miwili na siku mbili net ntampata wapi views zaidi ya million mbili mashabiki tunafanya makubwa sana kwakwel. Pia katika kituo cha trace urban ntampata wapi Inakamata nafasi ya tano kwenye Africa top 10. Am so proud
Blaza tatizo unaishi sana kwa double standards mkuu....ktk ile habari ya mganda kila muda na kapicha ka profile la Ivan kwamba hawezi sema hayaa Mara hawezi sema hiki na unamalizia kabisa wajinga pekee ndo wanaweza amini shigongo.
Lakini Jana wewe huyo ukala maneno yako mwenyewe,tena kwa maneno makali kabisa ukawaita na wenzako "manyani" kisa habari ya udaku.
Ukaja mpaka na huku mwenyewe ukaona umepata fimbo ya kuwachapia mashabiki wa diamond kwamba msanii wao anakopa mil 10,haha ukasahau kwamba hana mwaka kamhonga huyo huyo mumtajae gari aina ya murano.
Blaza ktk habari ya gazeti walisema source ni idhaa ya kiswahili ya BBC je blaza hukustuka hata kidogo kama BBC wanaweza Fanya huo ujinga????
Jamani nimewamissije wadau wangu team yangu ni ubusy tu hadi napotea ,jamani Kim nana chige tofali Heaven on Earth Chinga One data bila kukusahau wengine majina kuyaandika ni shidaa nawapenda mpaka naumwa mwenzenu karibuni Mwanza mji ulojaaliwa hakuna joto,wala foleni hali ya hewa tambararee ,vyakula vya kila aina tunavyo,panya road hawasogei mwisho Dar teh...
.,team Daimond forever