Mkuu
Innocizy,
Kwanza sorry nimechelewa ku-repsond kwenye proposal yako coz' I was kinda busy wit my beautiful Princess!
Kuhusu proposal yako ni bonge la proposal, sio tu kwa sisi bali endapo WCB Management wangeamua kutumia this approach coz' ingewahakikishia Strong Fans Base. Tatizo hawa watu wakati mwingine wanakuwa wazito katika opportunities in other way around... huwa wana-stick na kile kilichopo mbele yao. Leo hii mtu akiamua ku-work out with the proposal, itabidi awe tayari kutumia muda kibao kwa ajili ya kuwafuatiliwa tu hawa akina Tale! Anyway, huyu Babbu Tale sina uzoefu nae, lakini mchukulie Said Fella kwa mfano, huyu bwana mie nina kadi yake ya benki ambao ninayo mikononi mwangu tangu 2008... ilikuwa kila siku tunafanya kazi ya kupishana tu... tunawasiliana, lakini tunashindwa ku-meet! Kwahiyo, hata sasa, mtu akiamua kukutana na mtu kama Fella basi inabidi awe tayari kuacha kila kitu na kuanza kumfukuzia yeye tu!