Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Almost 100% right except for one thing kwene #4 kuna rekebisho kidogo. Juma Nature mwaka 2006 alikua nominated for Best African Act Kwene MTv-Europe Music Awards

Bless Though Dangote ni noma.
 
Tetesi : Uhenda muda wowote mwaka huu mwanzoni dangote akashusha vifaa vya band vya umeme vya system ya kisasa vikiwa full na mic zake wireless kama zile za Michael Jackson.
 
Tetesi : Uhenda muda wowote mwaka huu mwanzoni dangote akashusha vifaa vya band vya umeme vya system ya kisasa vikiwa full na mic zake wireless kama zile za Michael Jackson.

jamaa anajituma na daima mafanikio yatakua upande wake.
 
Tetesi : Uhenda muda wowote mwaka huu mwanzoni dangote akashusha vifaa vya band vya umeme vya system ya kisasa vikiwa full na mic zake wireless kama zile za Michael Jackson.
uhusiano kati ya elimu na ufahamu vinazidi kufifia, huyu jamaa hata Bachelor hana ila anajua kutumia fursa kupitiliza...Mungu amsaidie aje kua msanii mkubwa duniani
 
Jamani nimewamissije wadau wangu team yangu ni ubusy tu hadi napotea ,jamani Kim nana chige tofali Heaven on Earth Chinga One data bila kukusahau wengine majina kuyaandika ni shidaa nawapenda mpaka naumwa mwenzenu karibuni Mwanza mji ulojaaliwa hakuna joto,wala foleni hali ya hewa tambararee ,vyakula vya kila aina tunavyo,panya road hawasogei mwisho Dar teh...

.,team Daimond forever
 
Last edited by a moderator:
Rock City pazuriii
 
Karibu tena.....mwanza mwanza.....
 
Last edited by a moderator:
nimeona dis moja kwene hili jukwaa inakuhusu nkashndwa kujibu coz nliku bize, nimepata muda mada imefungwa... ila kujibu swali lake yule sinza pazuri ungemwambia " You are never fully dressed without a smile "

https://www.youtube.com/watch?v=IKjJ6DQF7xY
 
Ukweli napenda anavyojituma ila cpendi anavyobania albam eti kuibiwa inaibiwa nchi sembuse wewe watu escrow escrow lkini Tanzania bado inaendelea we to a albam die tusikilizeeee kwenye ndinga zetu watu tunapenda kusikia masong kama vile ukimuona huku tunajikumbusha maumivu we anza wengine watafwata Mdogo mdogo
 
Naombeni msaada wandugu huyu dai atanifelisha, nifanyeje? I can't stop listening & watching his music/performances.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…