Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

mnh! Naona unaingia na promo za kwenu sasa... umeanzisha mgahawa nini?! Mwanza Mwanza joto hakuna, sawa lakini baridi nalo linakera! Heri ya Mwaka Mpya...
 
Wazo lako ni zuri sana sema sie wengine hata huko Instagram hatupo. Hata hivyo, unaonaje kama umewa-follow hao jamaa ukaanza kuchonga nao kiaina?
 
Wazo lako ni zuri sana sema sie wengine hata huko Instagram hatupo. Hata hivyo, unaonaje kama umewa-follow hao jamaa ukaanza kuchonga nao kiaina?

kiukweli sijafanya ivo(kuwafollow)ila ntajarbu kuchukua namba zao za sim nimewahi ziona wamezianika kwenye account zao nizilete hapa au nita kupm bila shaka.penye nia pana njia
 
Karibu tena
 
Last edited by a moderator:
mnh! Naona unaingia na promo za kwenu sasa... umeanzisha mgahawa nini?! Mwanza Mwanza joto hakuna, sawa lakini baridi nalo linakera! Heri ya Mwaka Mpya...

Hali ni ya kawaida hakuna baridiiii,lazima usifie kwenyuu au siooo,mgahawa sijafungua nikifungua ntakujulishaa hehee,,,,,nawe pia heri ya mwaka mpyaaaa
 
Nimesoma sehemu meneja wa Wema amekanusha.
Naona jamaa yako kapotea kama sio yeye vile hahahahah
Nipotelee wapi? Mimi ndio niliyeandika taarifa hizo gazetini? au unadhani mimi ni jobless Team sina kazi zangu ambazo zinahitaji muda wangu?

Akili za kitoto hizi.
 
Good news wana jf nadhani tutalala poooaa..
Kwa miezi miwili na siku mbili net ntampata wapi views zaidi ya million mbili mashabiki tunafanya makubwa sana kwakwel. Pia katika kituo cha trace urban ntampata wapi Inakamata nafasi ya tano kwenye Africa top 10. Am so proud
 
Nimesoma sehemu meneja wa Wema amekanusha.

Nipotelee wapi? Mimi ndio niliyeandika taarifa hizo gazetini? au unadhani mimi ni jobless Team sina kazi zangu ambazo zinahitaji muda wangu?

Akili za kitoto hizi.

Blaza tatizo unaishi sana kwa double standards mkuu....ktk ile habari ya mganda kila muda na kapicha ka profile la Ivan kwamba hawezi sema hayaa Mara hawezi sema hiki na unamalizia kabisa wajinga pekee ndo wanaweza amini shigongo.
Lakini Jana wewe huyo ukala maneno yako mwenyewe,tena kwa maneno makali kabisa ukawaita na wenzako "manyani" kisa habari ya udaku.
Ukaja mpaka na huku mwenyewe ukaona umepata fimbo ya kuwachapia mashabiki wa diamond kwamba msanii wao anakopa mil 10,haha ukasahau kwamba hana mwaka kamhonga huyo huyo mumtajae gari aina ya murano.
Blaza ktk habari ya gazeti walisema source ni idhaa ya kiswahili ya BBC je blaza hukustuka hata kidogo kama BBC wanaweza Fanya huo ujinga????
 
Yaaani najuta kumkubali huyu Dogo aseeee....nikizama yutyubu bhasi vi GB lazima vikate kwa kustream videos zake.
Insta majuzi alitupia picha flani watu wakaanza hisi huwenda kuna dude litaanguka soon
 
kula like 100 mkuu.
 
Miss u too dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…