Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Embu ni kiswahili gani?nenda kaoshe k umeamka na utoko sasa unakutekenya
Hivi hujisikii aibu mwanamke unakuwa na matusi ya kudhalilisha uanamke? huyu jamaa zamani nilidhani kwamba ni mtu ambae anahitaji respect kumbe ni mtu anayestahiki kupuuzwa!!!
 
Usijichoreshe wewe uliyehongwa peremende....utabebwa
bwaha bwaha bwaha bwaha! bado ombi langu lile lile, huko kweny kuna stori zipi? Pamoja na sindano kadhaa ambazo zimekuingia bara bara, mengine tunayojadili huku ni haya hapa:
Hizi ni nyimbo 5 zinazoongoza kwenye orodha ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao wa Mikito.com.

1. Diamond - Nitampata Wapi

2. Mwana FA ft Ali Kiba-Kiboko Yangu
3. Yamoto Banda - Ntakupwelepweta
4. Ali Kiba :llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama:
5. Joh Makini - XO
Source: https://mkito.com/charts/top-100-all-time

So, kama unafikiria kwa kutumia kichwa, unaweza kupata jibu inakuwaje nyimbo iliyotoka kiasi cha miezi miwili iliyopita, inaipiga chini nyimbo ambayo ipo hewani kwa karibu takribani miezi sita sasa!
 
Ha ha ha mwana dar anaingia popote.Unalo hilo
2.jpg
 
Jana Kiba kautia aibu muziki wa bongo fleva. Msanii unaruka ukuta na kuwapotezea wenzio eti kisa wanaongea vizuri na Diamond. Katia aibu sana.
Hebu tupe habari za huko manake tunaona tu kuna kitorondo humu kinaweweseka ile mbaya...
 
Diamond aconcentrate na show za nje!za ndani atajipa stress tu hususani akiwa jukwaa moja na kiba. ..nguvu aliyotumia jana kuwakodi masela wa friends rangers ya kina mzozo na bado haikuwa vile. .itamsumbua kisaikolojia japo fans wake wanachukulia poa
 
Diamond aconcentrate na show za nje!za ndani atajipa stress tu hususani akiwa jukwaa moja na kiba. ..nguvu aliyotumia jana kuwakodi masela wa friends rangers ya kina mzozo na bado haikuwa vile. .itamsumbua kisaikolojia japo fans wake wanachukulia poa
hizo porojo zenu pelekeni huko, hapa hazina mashiko... weka ushahid hapa badala ya kuteletea stori zenu zisizo na kichwa wala miguu!! Hamjaannza leo, mara ubwabwa , mara kenda kwa mganga, mara kamuacha baba ake anaumwa... aaaargh, nyie watu vipi! Hizo stori waachie wenzako ambao kila siku hawana hoja zaidi ya viroja na sio wewe...
 
Back
Top Bottom