Leo ndo umekuja huku sio?Yani huyu Diamond huyuuuu....me mpaka ananikera sasa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndo umekuja huku sio?Yani huyu Diamond huyuuuu....me mpaka ananikera sasa....
Hebu tupe habari za huko manake tunaona tu kuna kitorondo humu kinaweweseka ile mbaya...
Leo ndo umekuja huku sio?
Jana Ali Kiba kapotezwa mbaya kashangiliwa wakati anaitwa stejini tu baada ya hapo watu wananung'unika tu anawaangusha. Diamond kafanya show ya hatari shangwe mwanzo mwisho kuna mamluki walitaka kama kuanza kuzomea ila wakajisahau nao kama kawa shangwe mwanzo mwii. Pia dangote aliwatembezea watu misimbazi kama shukrani.
Yaliyotokea backstage ni aibu kubwaaaa, Ali Kiba kaingia kwa kuruka ukuta watu wanashangaa tu puuu sijui ata walimbebaje yani aibu tupu. Cha kushangaza zaidi akutaka ata kusaalimiana na wasanii wenzake mwanaFA na Shaa wamesukumizwa na wapambe wake kama kuku, sasa wana wanasema eti ni masharti ya mganga wake wengine wanasema hapendi watu haswa wasanii na wadau wenzake wanapokuwa wanaongea vizuri na Dai yani kaacha watu wanasikitika ata ukimwambia mtu hawezi amini haya yanafnywa na yanki wa mjini kama yeye.
Diamond aconcentrate na show za nje!za ndani atajipa stress tu hususani akiwa jukwaa moja na kiba. ..nguvu aliyotumia jana kuwakodi masela wa friends rangers ya kina mzozo na bado haikuwa vile. .itamsumbua kisaikolojia japo fans wake wanachukulia poa
hemed upigie promo mziki wako sio unapigia promo wenzako,ungekua shujaa kma na wewe ungekua unashea jukwaa moja na chibu na kiba.....otherwise useme kama mziki umekushinda unakomaa na bongo muvi.
Huyo mshamba mwache tu afanye hivyo hana pa kutolea chuki zake za kufungiwa vioo na wasafi, nae kama Kiba anachukia yoyote aliye na mahusiano mazuri na Dai anamchukia Nyembo, Sheta na washikaji wote wa Dangote . Ila wakikutana anajichekeshachekesha.
Mtu kama haupo kikazi mtu anaweka bond na wanaopigana na life sio mambo ya kuuza sura mpaka anazeeka sasa anaanza kulelewa.
Mi namshangaa huyu jamaa... hatujawahi kumuona kwenye huu uzi halafu anakuja na stori za kishamba... labda alidhani angepewa kila mmoja hapa ni mshamba kama anavyowadanganya washamba wa kwenye uzi wa Kiba kule...hemed upigie promo mziki wako sio unapigia promo wenzako,ungekua shujaa kma na wewe ungekua unashea jukwaa moja na chibu na kiba.....otherwise useme kama mziki umekushinda unakomaa na bongo muvi.
Mi namshangaa huyu jamaa... hatujawahi kumuona kwenye huu uzi halafu anakuja na stori za kishamba... labda alidhani angepewa kila mmoja hapa ni mshamba kama anavyowadanganya washamba wa kwenye uzi wa Kiba kule...
Sure... kwanza sie wengine life la uswahili limeshatuharibu... mtu akituzingua, tunapiga za chembe live!mkaushie tu naona amesha anza matusi lengo lake sio jema anataka uzi ufungiwe.
bwah! bwah! bwah! Bwaha! Hivi huyu kitorondo kaingiaje humu....!!
bwaha bwaha bwaha bwaha! bado ombi langu lile lile, huko kweny kuna stori zipi? Pamoja na sindano kadhaa ambazo zimekuingia bara bara, mengine tunayojadili huku ni haya hapa:
Source: https://mkito.com/charts/top-100-all-time
So, kama unafikiria kwa kutumia kichwa, unaweza kupata jibu inakuwaje nyimbo iliyotoka kiasi cha miezi miwili iliyopita, inaipiga chini nyimbo ambayo ipo hewani kwa karibu takribani miezi sita sasa!
Sure... kwanza sie wengine life la uswahili limeshatuharibu... mtu akituzingua, tunapiga za chembe live!
alafu wapuuzi puuzi wanajileta hapa eti hawapendi diamond anaringa??? mxiuuuu!! wamesahau dharau za kiba alivotoka kwa Rkelly, hawajui tabia ni kama ngozi, sasa wasubiri awaoneshe nini maana ya dharau, siokutwa kumsingizia diamond na kumzushia kila siku, sasaJana Ali Kiba kapotezwa mbaya kashangiliwa wakati anaitwa stejini tu baada ya hapo watu wananung'unika tu anawaangusha. Diamond kafanya show ya hatari shangwe mwanzo mwisho kuna mamluki walitaka kama kuanza kuzomea ila wakajisahau nao kama kawa shangwe mwanzo mwii. Pia dangote aliwatembezea watu misimbazi kama shukrani.
Yaliyotokea backstage ni aibu kubwaaaa, Ali Kiba kaingia kwa kuruka ukuta watu wanashangaa tu puuu sijui ata walimbebaje yani aibu tupu. Cha kushangaza zaidi akutaka ata kusaalimiana na wasanii wenzake mwanaFA na Shaa wamesukumizwa na wapambe wake kama kuku, sasa wana wanasema eti ni masharti ya mganga wake wengine wanasema hapendi watu haswa wasanii na wadau wenzake wanapokuwa wanaongea vizuri na Dai yani kaacha watu wanasikitika ata ukimwambia mtu hawezi amini haya yanafnywa na yanki wa mjini kama yeye.
Hoyaaa... sio namba yako hii, hii sio namba ya ku-argue na wauza sura unless kama una lengo la kunitangazia biashara haramu inayolaaniwa na kila mwanadamu!Jidanganye kimaandishi. .kama life la uswahili limekuharibu mimi ndo naliharibu hilo life sasa
bwah! bwah! bwah! vitorondo wanazidi kuingia tu leo humu... kila nikiwauliza pande za kwao wana stori zipi, wanabaki kunya viroja!jana tuliwaoverdozi walahi, mara gafla makopo chini mikonoo juu kudaka pesaa, chezeya njaa, Dangote ni kwi kwi haizimwi kwa makopo wala zomea zomea na bado hajawapalia.