Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

wangekuwa wajanja zaid endapo wangepokea hizo hela kisha wakaendelea kuzomea lakini haikuwa hvyo yaan baada ya kupewa buku mbili tu wote walichanganyikiwa knoma noma

hivi nyie hela mnaijua au mnaisikia???????? kwa uwezo wa RUSHWA daimond mkali.........lakini kwa uwezo wa KIPAJI
ALIKIBA NI 😛oa
 
daimond hata bure siendi!!!

inampunguzia nini ukiacha kwenda? Umeona nyomi zake nchi za watu? Nyi wasumbufu sana, hatuwalazimish hata kumshangilia mwenetu ila mnajihis mnampunguzia vitu msipoenda au mkimzomea. Pumba inajulikana na mchele unajulikana mwisho wa siku. Mijituzo kibaoo na uwezo mkubwa wa kutawala jukwaa
 
kwa diamond hakuna kipya ambacho kafanya kama vile ambavyo nyie mnapaisha!! kuimba hamfikii hata mavoko,collabo hamfikii hata A.Y ambaye kafanya kazi na wasanii wa kimataifa kama romeo,sean kingstone n.k upande wa kiba ndio kabisaaaaa....muulize r.kelly ndio anamfahamu kiba vizuri...au kwakuwa kiba sio wa maskendo ndio maana mnaona hawezi!!!!
 
huu ni uzumbukuku kusema R Kelly anamjua Kiba, Kiba amefaidikaje na kujulikana huko? FYI alitakiwa kwenda Mr Blue wakat ule sema akatia pozi ndo wakamchukua Kiba. Kusema kua Chibu kaishiwa ni ukosefu wa hoja na chuki za kipuuzi, kuna ngoma yake imevuja inaitwa nasema nawe tafuta usikilize. Jamaa sauti yake inawafanya watu wanalia akiwa anaimba ( ushahidi show ya Rwanda na DarLive ). Rich Mavoko anaimba vizur ila ni dhambi kumlinganisha na diamond. Nyimbo za Chibu zaidi ya sauti nzuri zina vina vya kati na mwisho ( pure talent and professionalism ). Kulinganisha collabo alizofanya AY na alizofanya Mondi ni diversion tu. Mafanikio ya diamond kimuziki ( na ya msanii mwingine yoyote ) hayapimwi kwa kolabo za kimataifa alizofanya. Michael Jackson amefanya collabo ngapi?
 
Hufananishagi bali makusudi....yaani unatoa usajili dirisha dogo halafu unajifanya umefananisha na mbele.

mwandiko wako na hilo neno ulilopewa ulikremishe ndo wewe wewe.vipi ulitoka lini kule maana ulikuwa chizi kwelikweli yaan ful kutoka ute
 
huu ni uzumbukuku kusema R Kelly anamjua Kiba, Kiba amefaidikaje na kujulikana huko? FYI alitakiwa kwenda Mr Blue wakat ule sema akatia pozi ndo wakamchukua Kiba. Kusema kua Chibu kaishiwa ni ukosefu wa hoja na chuki za kipuuzi, kuna ngoma yake imevuja inaitwa nasema nawe tafuta usikilize. Jamaa sauti yake inawafanya watu wanalia akiwa anaimba ( ushahidi show ya Rwanda na DarLive ). Rich Mavoko anaimba vizur ila ni dhambi kumlinganisha na diamond. Nyimbo za Chibu zaidi ya sauti nzuri zina vina vya kati na mwisho ( pure talent and professionalism ). Kulinganisha collabo alizofanya AY na alizofanya Mondi ni diversion tu. Mafanikio ya diamond kimuziki ( na ya msanii mwingine yoyote ) hayapimwi kwa kolabo za kimataifa alizofanya. Michael Jackson amefanya collabo ngapi?

sahihisho kiba hajawai fanya kolabo na R kelly naamanisha ule wimbo c mali ta R kelly wala Kiba.
 
chige gave them a hell of a challenge......
Waweke hizo achievements za mtu wao na sio kutumia nguvu kubwa kulazimisha mambo ambayo sio kweli.
Utasemaje mtu anapendwa kuliko mwenzake wakati wimbo wake hata views laki 7 haujafika in a month wakati mwenzake hizo laki 7 ilikua within 5 days????.
Okey tuache hizo,naombeni tuzo zake hata za kili music bhasi,zikifika 7 namkataa diamond nahamia kwenu.
Za kimataifa siulizi maana ni sawa na kutoa pepa gumu ili ufelishe watu kimakusudi.
 
Last edited by a moderator:
mwandiko wako na hilo neno ulilopewa ulikremishe ndo wewe wewe.vipi ulitoka lini kule maana ulikuwa chizi kwelikweli yaan ful kutoka ute

Dirisha dogo ukilifanyia usajili ute lazima.....ushaharibu hali ya hewa.Chezea mitalimbo weye
 
Zai usijibu mtuuu, puliiiizzz, acha wahorojoke waondoke.. humu ndani no stress yani. Kama tuzo zipo za kutosha, pesa ndo mpaka zamwagwa....wenye stress waache wakafie mbele....usibizane na mtu nakuomba katoto wanguuuu.....

worry out mamy ntafanya hivyo kwa heshima yako
 
Jana waliofanya fujo ni team wema na team kiba wachache ambao bado hawataki kubali matokeo, wangese.
 
Back
Top Bottom