huu ni uzumbukuku kusema R Kelly anamjua Kiba, Kiba amefaidikaje na kujulikana huko? FYI alitakiwa kwenda Mr Blue wakat ule sema akatia pozi ndo wakamchukua Kiba. Kusema kua Chibu kaishiwa ni ukosefu wa hoja na chuki za kipuuzi, kuna ngoma yake imevuja inaitwa nasema nawe tafuta usikilize. Jamaa sauti yake inawafanya watu wanalia akiwa anaimba ( ushahidi show ya Rwanda na DarLive ). Rich Mavoko anaimba vizur ila ni dhambi kumlinganisha na diamond. Nyimbo za Chibu zaidi ya sauti nzuri zina vina vya kati na mwisho ( pure talent and professionalism ). Kulinganisha collabo alizofanya AY na alizofanya Mondi ni diversion tu. Mafanikio ya diamond kimuziki ( na ya msanii mwingine yoyote ) hayapimwi kwa kolabo za kimataifa alizofanya. Michael Jackson amefanya collabo ngapi?