Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
wangekuwa wajanja zaid endapo wangepokea hizo hela kisha wakaendelea kuzomea lakini haikuwa hvyo yaan baada ya kupewa buku mbili tu wote walichanganyikiwa knoma noma
kwani nisipolala itakuaje
17 msanii wa kwanza kucheza kwa stage na wacheza show wake
18 msanii wa kwanza wa bongo flava kuimba live kwa stage
daimond hata bure siendi!!!
inampunguzia nini ukiacha kwenda? Umeona nyomi zake nchi za watu? Nyi wasumbufu sana, hatuwalazimish hata kumshangilia mwenetu ila mnajihis mnampunguzia vitu msipoenda au mkimzomea. Pumba inajulikana na mchele unajulikana mwisho wa siku. Mijituzo kibaoo na uwezo mkubwa wa kutawala jukwaa
wangekuwa wajanja zaid endapo wangepokea hizo hela kisha wakaendelea kuzomea lakini haikuwa hvyo yaan baada ya kupewa buku mbili tu wote walichanganyikiwa knoma noma
kwa diamond hakuna kipya ambacho kafanya kama vile ambavyo nyie mnapaisha!! kuimba hamfikii hata mavoko,collabo hamfikii hata A.Y ambaye kafanya kazi na wasanii wa kimataifa kama romeo,sean kingstone n.k upande wa kiba ndio kabisaaaaa....muulize r.kelly ndio anamfahamu kiba vizuri...au kwakuwa kiba sio wa maskendo ndio maana mnaona hawezi!!!!
Hufananishagi bali makusudi....yaani unatoa usajili dirisha dogo halafu unajifanya umefananisha na mbele.
hivi nyie hela mnaijua au mnaisikia???????? kwa uwezo wa RUSHWA daimond mkali.........lakini kwa uwezo wa KIPAJI
ALIKIBA NI 😛oa
huu ni uzumbukuku kusema R Kelly anamjua Kiba, Kiba amefaidikaje na kujulikana huko? FYI alitakiwa kwenda Mr Blue wakat ule sema akatia pozi ndo wakamchukua Kiba. Kusema kua Chibu kaishiwa ni ukosefu wa hoja na chuki za kipuuzi, kuna ngoma yake imevuja inaitwa nasema nawe tafuta usikilize. Jamaa sauti yake inawafanya watu wanalia akiwa anaimba ( ushahidi show ya Rwanda na DarLive ). Rich Mavoko anaimba vizur ila ni dhambi kumlinganisha na diamond. Nyimbo za Chibu zaidi ya sauti nzuri zina vina vya kati na mwisho ( pure talent and professionalism ). Kulinganisha collabo alizofanya AY na alizofanya Mondi ni diversion tu. Mafanikio ya diamond kimuziki ( na ya msanii mwingine yoyote ) hayapimwi kwa kolabo za kimataifa alizofanya. Michael Jackson amefanya collabo ngapi?
Utaendelea kuropoka hapaaaa mwisho watakupiga ban bureeeeeee
samahan naomba kuuliza swali eti ban ndo kituo gan cha polisi
mwandiko wako na hilo neno ulilopewa ulikremishe ndo wewe wewe.vipi ulitoka lini kule maana ulikuwa chizi kwelikweli yaan ful kutoka ute
mmhhh wapi jay dee................wapi barnaba.........we kweli sambusaaaa
Zai usijibu mtuuu, puliiiizzz, acha wahorojoke waondoke.. humu ndani no stress yani. Kama tuzo zipo za kutosha, pesa ndo mpaka zamwagwa....wenye stress waache wakafie mbele....usibizane na mtu nakuomba katoto wanguuuu.....
Habari Zenu humu.