Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


well well, I really like it
 

this is purely truth, wonderfully analysis, sina cha kuongeza wala kupunguza, wenye busara wataelewa kwani huo ndio ukweli.
 

hii walipaswa waione wapenzi wote wa ali kiba.
 

umemaliza yote mkuu
 
Me simooo am just a messenger jamaniiiii
 

Attachments

  • 1422472667819.jpg
    39.1 KB · Views: 152

Hakikaa
 

this is genious,, whatttt!!
Brilliant analysis... @
 
Habari zenu wanajamvi, wapenda maendeleo. Kwanza nampa pole mama mondi na sala zangu Mungu ampe wepesi.
Binafsi ninaumia sana ninapoona aidha baunsa, security au polisi anapompiga mshabiki wa msanii tena ukumbini. Haitoshi bado unakuta waandishi wa habari sijui watu gani wanajaa in between msanii na mashabiki hivyo ku-block contact kati msanii na mshabiki wake. Why did I bring this stuff here?

1. Nimefuatilia show nyingi za diamond na ameonesha kukerwa sana na hili utasikia "msiwapige jamanii".

2. Diamond ni game changer so anaweza kuondoa hili

3. Wasanii wengi wanapenda kushake hands na mshabiki wakiwa wanapafom.

Kama mshabiki wanakaguliwa getini (tho am not show how effective the screening system is) hakuna haja ya security kati ya stage na mshabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…