Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kabla ya 2009 ( kabla ya platnumz kuingia kwene game rasmi ), wengi wetu humu tulikua tunamkubali Ali Kiba ( inawezekana alikua number 1 artist wetu ), akaja diamond hatukumchukia ali kiba ( inawezekana tulikua tunamkubali vile vile bado ). Ali Kiba akawa anatoa wimbo mmoja ( Dushelele ) diamond tatu nakuendelea ( mbagala, nitarejea, lala salama ma nyinginezo). Ali Kiba akaendelea kutoa nyimbo moja moja ( Single Boy ), platnumz nae akaendelea kutoa nyimbo nyingi nyingi ( mawazo, kipofu, ukimwona, chanda chema ). Sasa sisi ambao tulikua watu wa Ali Kiba by then tukawa tunamsikiliza sana Diamond kwasababu alikua karibu sana na sisi kuliko Ali K. Ikatokea mwaka 2012 mwishoni ali kiba akatoa my everythin watu wakasema amerudi, mara akakaaa kimya tukawa tunamsikia kwene collabo zisizoeleweka ( Kelele ), focus ya diamond ikawa kutoa ngoma kali na nyingi kwa muda unaofuatana pamoja na videos kali ( Kesho ). Kesho ilinyimwa hata nomination kwene KTMA wakati wasanii wakubwa walikiri kua hiyo ndo video yao kali kwa mwaka. Platnumz akalalamika na akaendelea kustruggle. Akatoa Nataka kulewa tukaikubalia ( Ali K yupo kimya ). Ndo akawa ametuchukua kabisa ( tusingeweza kumsubiri Ally Kiba atoe wimbo mmoja ndani ya miaka 3 wakati kuna diamond ambae ndani ya mwaka mmoja anatoa nyimbo hata 4 ). Akaja na My Number 1 2013 ikawa na bonge la video ikazoa tuzo za kili, same year ikawa audio ya remix na davido ikawa imekamilika ( waliipafom kwene fiesta 2013 ). 2014 mwanzoni video ya remix ya my number 1 ikatoka. Baada ya hayo mafanikio sijawahi kumsikia diamond akijiita Mfalme wa Bongo Fleva, Numere eik, Nambari Moja wala kujilinganisha na Kiba. Amekua akiwaheshimu wasanii wakubwa kwa kuwaita Kaka ( mfano TID, Dully na Prof Jay ). 2014 ali kiba akatoa ngoma mbili kwa staili ya kua amerudi kukaa kwene kiti chake tukashangaa "kwani anaongelea kiti kipi ??! " ( Jibu likaja kua Ali Kiba amewahi kujiita mfalme na pia alijiita namba 1 ) lakini nani amejiita namba moja mpaka Ali Kiba aje achukue na amtoe? ( hakuna aliefanya hivo ). Uchunguzi ukaonesha Ali Kiba anaongelea mafanikio ya Diamond ( ambayo hayana uhusiano na vyeo alivojipaga ). Watu tukashangaa kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa Ali Kiba na mafanikio ya Diamond? Tukagundua Ali Kiba anawivu. Hatukumchukia, wakaja watu ambao walikua wanamchukia diamond ( tokea mwaka 2010 ) bila sababu wakasema ni mashabiki wa Ali Kiba, wakawa wanamtukana facebook ( hata wakati kiba hakua ametoa wimbo ). Kwachuki ile ya hao jamaa wanaojiita wa Kiba nasisi tukaanza kumtetea diamond kwa kujenga chuki kwa Ali Kiba ( ambae tulikua tunamkubali ). Sasa hivi washabiki kama wewe mmefanya Ali Kiba awe anachukiwa na watu wengi wanaomkubali diamond ( ambao kabla walikua wanamkubali ). Tukikuuliza kwanini unamchukia diamond utashindwa kutupa jibu, ni aidha una wivu wa kike ( na mafanikio yake ) kwasababu diamond hajawah kumtukana Kiba wala kujilinganisha nae ( he is in the league of his own ). Jamaa amekaza mpaka katusua, baadala vijana tujifunze kua na juhudi kama yeye ndo tunaanza kuleta us*@ge wakuzomea na kurusha makopo. Oneni aibu mjiulize kwann mnamchukia platnumz.

well well, I really like it
 
this is purely truth, wonderfully analysis, sina cha kuongeza wala kupunguza, wenye busara wataelewa kwani huo ndio ukweli.
 
kabla ya 2009 ( kabla ya platnumz kuingia kwene game rasmi ), wengi wetu humu tulikua tunamkubali Ali Kiba ( inawezekana alikua number 1 artist wetu ), akaja diamond hatukumchukia ali kiba ( inawezekana tulikua tunamkubali vile vile bado ).

Ali Kiba akawa anatoa wimbo mmoja ( Dushelele ) diamond tatu nakuendelea ( mbagala, nitarejea, lala salama ma nyinginezo). Ali Kiba akaendelea kutoa nyimbo moja moja ( Single Boy ), platnumz nae akaendelea kutoa nyimbo nyingi nyingi ( mawazo, kipofu, ukimwona, chanda chema ).

Sasa sisi ambao tulikua watu wa Ali Kiba by then tukawa tunamsikiliza sana Diamond kwasababu alikua karibu sana na sisi kuliko Ali K. Ikatokea mwaka 2012 mwishoni ali kiba akatoa my everythin watu wakasema amerudi, mara akakaaa kimya tukawa tunamsikia kwene collabo zisizoeleweka ( Kelele ), focus ya diamond ikawa kutoa ngoma kali na nyingi kwa muda unaofuatana pamoja na videos kali ( Kesho ).

Kesho ilinyimwa hata nomination kwene KTMA wakati wasanii wakubwa walikiri kua hiyo ndo video yao kali kwa mwaka. Platnumz akalalamika na akaendelea kustruggle. Akatoa Nataka kulewa tukaikubalia ( Ali K yupo kimya ). Ndo akawa ametuchukua kabisa ( tusingeweza kumsubiri Ally Kiba atoe wimbo mmoja ndani ya miaka 3 wakati kuna diamond ambae ndani ya mwaka mmoja anatoa nyimbo hata 4 ).

Akaja na My Number 1 2013 ikawa na bonge la video ikazoa tuzo za kili, same year ikawa audio ya remix na davido ikawa imekamilika ( waliipafom kwene fiesta 2013 ). 2014 mwanzoni video ya remix ya my number 1 ikatoka. Baada ya hayo mafanikio sijawahi kumsikia diamond akijiita Mfalme wa Bongo Fleva, Numere eik, Nambari Moja wala kujilinganisha na Kiba.

Amekua akiwaheshimu wasanii wakubwa kwa kuwaita Kaka ( mfano TID, Dully na Prof Jay ). 2014 ali kiba akatoa ngoma mbili kwa staili ya kua amerudi kukaa kwene kiti chake tukashangaa "kwani anaongelea kiti kipi ??! " ( Jibu likaja kua Ali Kiba amewahi kujiita mfalme na pia alijiita namba 1 ) lakini nani amejiita namba moja mpaka Ali Kiba aje achukue na amtoe? ( hakuna aliefanya hivo ).

Uchunguzi ukaonesha Ali Kiba anaongelea mafanikio ya Diamond ( ambayo hayana uhusiano na vyeo alivojipaga ). Watu tukashangaa kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa Ali Kiba na mafanikio ya Diamond? Tukagundua Ali Kiba anawivu. Hatukumchukia, wakaja watu ambao walikua wanamchukia diamond ( tokea mwaka 2010 ) bila sababu wakasema ni mashabiki wa Ali Kiba, wakawa wanamtukana facebook ( hata wakati kiba hakua ametoa wimbo ).

Kwachuki ile ya hao jamaa wanaojiita wa Kiba nasisi tukaanza kumtetea diamond kwa kujenga chuki kwa Ali Kiba ( ambae tulikua tunamkubali ). Sasa hivi washabiki kama wewe mmefanya Ali Kiba awe anachukiwa na watu wengi wanaomkubali diamond ( ambao kabla walikua wanamkubali ). Tukikuuliza kwanini unamchukia diamond utashindwa kutupa jibu, ni aidha una wivu wa kike ( na mafanikio yake ) kwasababu diamond hajawah kumtukana Kiba wala kujilinganisha nae ( he is in the league of his own ). Jamaa amekaza mpaka katusua, baadala vijana tujifunze kua na juhudi kama yeye ndo tunaanza kuleta us*@ge wakuzomea na kurusha makopo. Oneni aibu mjiulize kwann mnamchukia platnumz.

hii walipaswa waione wapenzi wote wa ali kiba.
 
kabla ya 2009 ( kabla ya platnumz kuingia kwene game rasmi ), wengi wetu humu tulikua tunamkubali Ali Kiba ( inawezekana alikua number 1 artist wetu ), akaja diamond hatukumchukia ali kiba ( inawezekana tulikua tunamkubali vile vile bado ). Ali Kiba akawa anatoa wimbo mmoja ( Dushelele ) diamond tatu nakuendelea ( mbagala, nitarejea, lala salama ma nyinginezo). Ali Kiba akaendelea kutoa nyimbo moja moja ( Single Boy ), platnumz nae akaendelea kutoa nyimbo nyingi nyingi ( mawazo, kipofu, ukimwona, chanda chema ). Sasa sisi ambao tulikua watu wa Ali Kiba by then tukawa tunamsikiliza sana Diamond kwasababu alikua karibu sana na sisi kuliko Ali K. Ikatokea mwaka 2012 mwishoni ali kiba akatoa my everythin watu wakasema amerudi, mara akakaaa kimya tukawa tunamsikia kwene collabo zisizoeleweka ( Kelele ), focus ya diamond ikawa kutoa ngoma kali na nyingi kwa muda unaofuatana pamoja na videos kali ( Kesho ). Kesho ilinyimwa hata nomination kwene KTMA wakati wasanii wakubwa walikiri kua hiyo ndo video yao kali kwa mwaka. Platnumz akalalamika na akaendelea kustruggle. Akatoa Nataka kulewa tukaikubalia ( Ali K yupo kimya ). Ndo akawa ametuchukua kabisa ( tusingeweza kumsubiri Ally Kiba atoe wimbo mmoja ndani ya miaka 3 wakati kuna diamond ambae ndani ya mwaka mmoja anatoa nyimbo hata 4 ). Akaja na My Number 1 2013 ikawa na bonge la video ikazoa tuzo za kili, same year ikawa audio ya remix na davido ikawa imekamilika ( waliipafom kwene fiesta 2013 ). 2014 mwanzoni video ya remix ya my number 1 ikatoka. Baada ya hayo mafanikio sijawahi kumsikia diamond akijiita Mfalme wa Bongo Fleva, Numere eik, Nambari Moja wala kujilinganisha na Kiba. Amekua akiwaheshimu wasanii wakubwa kwa kuwaita Kaka ( mfano TID, Dully na Prof Jay ). 2014 ali kiba akatoa ngoma mbili kwa staili ya kua amerudi kukaa kwene kiti chake tukashangaa "kwani anaongelea kiti kipi ??! " ( Jibu likaja kua Ali Kiba amewahi kujiita mfalme na pia alijiita namba 1 ) lakini nani amejiita namba moja mpaka Ali Kiba aje achukue na amtoe? ( hakuna aliefanya hivo ). Uchunguzi ukaonesha Ali Kiba anaongelea mafanikio ya Diamond ( ambayo hayana uhusiano na vyeo alivojipaga ). Watu tukashangaa kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa Ali Kiba na mafanikio ya Diamond? Tukagundua Ali Kiba anawivu. Hatukumchukia, wakaja watu ambao walikua wanamchukia diamond ( tokea mwaka 2010 ) bila sababu wakasema ni mashabiki wa Ali Kiba, wakawa wanamtukana facebook ( hata wakati kiba hakua ametoa wimbo ). Kwachuki ile ya hao jamaa wanaojiita wa Kiba nasisi tukaanza kumtetea diamond kwa kujenga chuki kwa Ali Kiba ( ambae tulikua tunamkubali ). Sasa hivi washabiki kama wewe mmefanya Ali Kiba awe anachukiwa na watu wengi wanaomkubali diamond ( ambao kabla walikua wanamkubali ). Tukikuuliza kwanini unamchukia diamond utashindwa kutupa jibu, ni aidha una wivu wa kike ( na mafanikio yake ) kwasababu diamond hajawah kumtukana Kiba wala kujilinganisha nae ( he is in the league of his own ). Jamaa amekaza mpaka katusua, baadala vijana tujifunze kua na juhudi kama yeye ndo tunaanza kuleta us*@ge wakuzomea na kurusha makopo. Oneni aibu mjiulize kwann mnamchukia platnumz.

umemaliza yote mkuu
 
Me simooo am just a messenger jamaniiiii
 
Attachments

  • 1422472667819.jpg
    1422472667819.jpg
    39.1 KB · Views: 152

Hakikaa
 
kabla ya 2009 ( kabla ya platnumz kuingia kwene game rasmi ), wengi wetu humu tulikua tunamkubali ali kiba ( inawezekana alikua number 1 artist wetu ), akaja diamond hatukumchukia ali kiba ( inawezekana tulikua tunamkubali vile vile bado ). Ali kiba akawa anatoa wimbo mmoja ( dushelele ) diamond tatu nakuendelea ( mbagala, nitarejea, lala salama ma nyinginezo). Ali kiba akaendelea kutoa nyimbo moja moja ( single boy ), platnumz nae akaendelea kutoa nyimbo nyingi nyingi ( mawazo, kipofu, ukimwona, chanda chema ). Sasa sisi ambao tulikua watu wa ali kiba by then tukawa tunamsikiliza sana diamond kwasababu alikua karibu sana na sisi kuliko ali k. Ikatokea mwaka 2012 mwishoni ali kiba akatoa my everythin watu wakasema amerudi, mara akakaaa kimya tukawa tunamsikia kwene collabo zisizoeleweka ( kelele ), focus ya diamond ikawa kutoa ngoma kali na nyingi kwa muda unaofuatana pamoja na videos kali ( kesho ). Kesho ilinyimwa hata nomination kwene ktma wakati wasanii wakubwa walikiri kua hiyo ndo video yao kali kwa mwaka. Platnumz akalalamika na akaendelea kustruggle. Akatoa nataka kulewa tukaikubalia ( ali k yupo kimya ). Ndo akawa ametuchukua kabisa ( tusingeweza kumsubiri ally kiba atoe wimbo mmoja ndani ya miaka 3 wakati kuna diamond ambae ndani ya mwaka mmoja anatoa nyimbo hata 4 ). Akaja na my number 1 2013 ikawa na bonge la video ikazoa tuzo za kili, same year ikawa audio ya remix na davido ikawa imekamilika ( waliipafom kwene fiesta 2013 ). 2014 mwanzoni video ya remix ya my number 1 ikatoka. Baada ya hayo mafanikio sijawahi kumsikia diamond akijiita mfalme wa bongo fleva, numere eik, nambari moja wala kujilinganisha na kiba. Amekua akiwaheshimu wasanii wakubwa kwa kuwaita kaka ( mfano tid, dully na prof jay ). 2014 ali kiba akatoa ngoma mbili kwa staili ya kua amerudi kukaa kwene kiti chake tukashangaa "kwani anaongelea kiti kipi ??! " ( jibu likaja kua ali kiba amewahi kujiita mfalme na pia alijiita namba 1 ) lakini nani amejiita namba moja mpaka ali kiba aje achukue na amtoe? ( hakuna aliefanya hivo ). Uchunguzi ukaonesha ali kiba anaongelea mafanikio ya diamond ( ambayo hayana uhusiano na vyeo alivojipaga ). Watu tukashangaa kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa ali kiba na mafanikio ya diamond? Tukagundua ali kiba anawivu. Hatukumchukia, wakaja watu ambao walikua wanamchukia diamond ( tokea mwaka 2010 ) bila sababu wakasema ni mashabiki wa ali kiba, wakawa wanamtukana facebook ( hata wakati kiba hakua ametoa wimbo ). Kwachuki ile ya hao jamaa wanaojiita wa kiba nasisi tukaanza kumtetea diamond kwa kujenga chuki kwa ali kiba ( ambae tulikua tunamkubali ). Sasa hivi washabiki kama wewe mmefanya ali kiba awe anachukiwa na watu wengi wanaomkubali diamond ( ambao kabla walikua wanamkubali ). Tukikuuliza kwanini unamchukia diamond utashindwa kutupa jibu, ni aidha una wivu wa kike ( na mafanikio yake ) kwasababu diamond hajawah kumtukana kiba wala kujilinganisha nae ( he is in the league of his own ). Jamaa amekaza mpaka katusua, baadala vijana tujifunze kua na juhudi kama yeye ndo tunaanza kuleta us*@ge wakuzomea na kurusha makopo. Oneni aibu mjiulize kwann mnamchukia platnumz.

this is genious,, whatttt!!
Brilliant analysis... @
 
Habari zenu wanajamvi, wapenda maendeleo. Kwanza nampa pole mama mondi na sala zangu Mungu ampe wepesi.
Binafsi ninaumia sana ninapoona aidha baunsa, security au polisi anapompiga mshabiki wa msanii tena ukumbini. Haitoshi bado unakuta waandishi wa habari sijui watu gani wanajaa in between msanii na mashabiki hivyo ku-block contact kati msanii na mshabiki wake. Why did I bring this stuff here?

1. Nimefuatilia show nyingi za diamond na ameonesha kukerwa sana na hili utasikia "msiwapige jamanii".

2. Diamond ni game changer so anaweza kuondoa hili

3. Wasanii wengi wanapenda kushake hands na mshabiki wakiwa wanapafom.

Kama mshabiki wanakaguliwa getini (tho am not show how effective the screening system is) hakuna haja ya security kati ya stage na mshabiki.
 
Back
Top Bottom