Sorry mi najiuliza kwann nyimbo zako hazichelew kuisha utam?? Jitahidi kuongeza radha ili na cc team wcb tujidai... Coz nimeona ile kitorondo ishakua ilipendwa na ntampata wap nayo hivo hivo na hii ntasema nawe pia ishachuja... Bila shaka unafikiria kuitoa nyingine.... Mbona yule jamaa alieimba mwana hadi leo yake ni tamu??? Hadi fans wake wanajidai nayo... Fanya hivo bhas broo, hadi nataka kuhama team bhana...[Huu ni mtazamo wangu...] Peace n love...
Unaishi maeneo gani huko ambapo ' Ntampata Wapi ' haipigwi kila saa? Halafu team yetu sisi lazima uwe na namba ya usajili ya kwako ngapi?Sorry mi najiuliza kwann nyimbo zako hazichelew kuisha utam?? Jitahidi kuongeza radha ili na cc team wcb tujidai... Coz nimeona ile kitorondo ishakua ilipendwa na ntampata wap nayo hivo hivo na hii ntasema nawe pia ishachuja... Bila shaka unafikiria kuitoa nyingine.... Mbona yule jamaa alieimba mwana hadi leo yake ni tamu??? Hadi fans wake wanajidai nayo... Fanya hivo bhas broo, hadi nataka kuhama team bhana...[Huu ni mtazamo wangu...] Peace n love...
Haya tumekuona,umefanya vizuri kujipitisha tukujue.Sorry Diamond mi najiuliza kwann nyimbo zako hazichelew kuisha utam?? Jitahidi kuongeza radha ili na cc team wcb tujidai... Coz nimeona ile kitorondo ishakua ilipendwa na ntampata wap nayo hivo hivo na hii ntasema nawe pia ishachuja... Bila shaka unafikiria kuitoa nyingine.... Mbona yule jamaa alieimba mwana hadi leo yake ni tamu??? Hadi fans wake wanajidai nayo... Fanya hivo bhas broo, hadi nataka kuhama team bhana...[Huu ni mtazamo wangu...] Peace n love...
Unaishi maeneo gani huko ambapo ' Ntampata Wapi ' haipigwi kila saa? Halafu team yetu sisi lazima uwe na namba ya usajili ya kwako ngapi?
morninggood morning brazas & sistas!!! j2 njema.
hii song mpya ya Iyanya na Mondi ni kwikwimorning
hii song mpya ya Iyanya na Mondi ni kwikwi
hii song mpya ya Iyanya na Mondi ni kwikwi
hii song mpya ya Iyanya na Mondi ni kwikwi
nackia c official realese et umevuja
Tupia humu tuisikilize.
Christian Bella-Ukimwona Remix by Bongofive - HulkShareUkimwona...christian Bella cover ni noma.....mwenye kuweza ileta hapa ailete....
Najiuliza kama plantumz hajui kama ambavyo baadhi ya watu wanataka kutuaminisha, iweje ni yeye pekeee ktk kizazi hiki ambae nyimbo zake ndio zinafanyiwa remix????
Napata jibu ni chuki tu kwa living legend.....watu tulizoea nyimbo za kina marijan Rajab na Bi kidude na mbaraka mwishehe ndo zinazorudiwa kumbe hata na za Chibu????
Ipoo siku when Chibu is gone tutaona ombwe ktk tasnia ya music,kama ambavyo tunaona ombwe ktk bongo movie after the Great.
Asanteni.
Ukimwona...christian Bella cover ni noma.....mwenye kuweza ileta hapa ailete....