Sorry mi najiuliza kwann nyimbo zako hazichelew kuisha utam?? Jitahidi kuongeza radha ili na cc team wcb tujidai... Coz nimeona ile kitorondo ishakua ilipendwa na ntampata wap nayo hivo hivo na hii ntasema nawe pia ishachuja... Bila shaka unafikiria kuitoa nyingine.... Mbona yule jamaa alieimba mwana hadi leo yake ni tamu??? Hadi fans wake wanajidai nayo... Fanya hivo bhas broo, hadi nataka kuhama team bhana...[Huu ni mtazamo wangu...] Peace n love...
Inaonyesha unapima uelekeo wa upepo unakwenda wapi sa ivi


