Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #381
Aiseee daaa hivi vita vyenu full vituko
Hapo kwenye red hapo totally false comparison....
angalia hii list hapa chini then niambie ngoma gani hapo utaifananisha na hizo za hapo juu!!
1.kamwambie
2.mbagala
3.nitarejea
3.nimpende nani
4.moyo wangu
5.kizaizai
6.ukimwona
7.nataka kulewa
8.nataka "kesho"nikupeleke kwa mama
9.number 1.
10.kitorondo
chagua mwenyewe truck 1 kati ya hizo hits then upambanishe na nyimbo zote ulizo zitaja hapo juu uone kitakacho tokea.
Wakati anatoka na album yake ya kwanza na hit song ya nenda kamwambie sikumwelewa sana nilijua ni upepo utapita, hata ntarejea nilidhan kabahatisha bila kusahau mbagara niliielewa lakini nikaona album ya kwanza wengi uwa wanafanya vizuri.
Baadae likaja bifu kati yake na producer wake wa awali bob jr nikaona dogo ndo mwisho wake ila kumbe ndo kwanza safari inaanza yani kama ni series tungesema ndo kwanza tuko epsode ya tatu kati ya epsodes 85 za series nzima.
Nikasikia kitu Regreema, sijui nimepatia kwenye lile goma alilopika producer Lamar lijulikanalo kama moyo wangu. Ngastuka, machale kundesa !!!! Nikaona huyu kijna kumbe hana utani na video safi plus madansa na madam sepetunga pale katikati nikaoni huyu kijana is here to stay.
Sijakaa vizuri nikaona teaser ya mawazo akiwa na watoto ambao kwa wakati ule walionekana ni level mbaya si rahisi kuwatumia kama ma video queen nkimaanisha jokate na lisa jensen. Duuh nikazidi shangaa huyu dogo mbona anajua sana hivi.
Mara mambo ya tour wapi sijui kitu kikaja kizai zai, mara lala salama akaja nimaliza na UKIMUONA, huu wimbo ni mkali sana. Wakati umetoka kuna mnigeria, mcameroon na mrussia walikuwa kila wakaniona nakuwa nausikiliza hadi wakaupenda wakaniomba niwawekee kwenye laptops zao.
Kumchukia huyu kijana ni kutafta maradhi ya moyo

aiseee daaa hivi vita vyenu full vituko
mkuu....hao unaosikia ni washabiki wa ali kiba ni haters wa diamond!!! Walikuwa wapi wakati kiba hali mbaya!!? Kwasababu zao binafsi wanamchukia diamond sasa wanaona wambebe huyo kiba....habebeki nakuhakikishia kwanza wimbo wake ushachuja sasa hivi tumsubiri atoe ingine,simchukii kiba ila diamond ni namba moja hana mpinzani bongo hii
Yaan mtu anaenda kupafom na moka niliachwa hoi mie
labda alikua ana iga swaga za boni mwaitege.

kama kawaida watu wana chuki na maendeleo ya vijana wenzao ukitaka kujua hawa watu wakoje nenda kule kwao uone wanavyo toa chuki za wazi wazi kwa diamond....daah ila yule jamaa yao wamtafutie designer maana mavazi kwa kweli ni 00%
Wakati anatoka na album yake ya kwanza na hit song ya nenda kamwambie sikumwelewa sana nilijua ni upepo utapita, hata ntarejea nilidhan kabahatisha bila kusahau mbagara niliielewa lakini nikaona album ya kwanza wengi uwa wanafanya vizuri.
Baadae likaja bifu kati yake na producer wake wa awali bob jr nikaona dogo ndo mwisho wake ila kumbe ndo kwanza safari inaanza yani kama ni series tungesema ndo kwanza tuko epsode ya tatu kati ya epsodes 85 za series nzima.
Nikasikia kitu Regreema, sijui nimepatia kwenye lile goma alilopika producer Lamar lijulikanalo kama moyo wangu. Ngastuka, machale kundesa !!!! Nikaona huyu kijna kumbe hana utani na video safi plus madansa na madam sepetunga pale katikati nikaoni huyu kijana is here to stay.
Sijakaa vizuri nikaona teaser ya mawazo akiwa na watoto ambao kwa wakati ule walionekana ni level mbaya si rahisi kuwatumia kama ma video queen nkimaanisha jokate na lisa jensen. Duuh nikazidi shangaa huyu dogo mbona anajua sana hivi.
Mara mambo ya tour wapi sijui kitu kikaja kizai zai, mara lala salama akaja nimaliza na UKIMUONA, huu wimbo ni mkali sana. Wakati umetoka kuna mnigeria, mcameroon na mrussia walikuwa kila wakaniona nakuwa nausikiliza hadi wakaupenda wakaniomba niwawekee kwenye laptops zao.
Kumchukia huyu kijana ni kutafta maradhi ya moyo
ha ha ha haaaa..!! Wameyataka wenyewe!!
Mtu wao hata FB hayupo.