Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hahaha wana muita Chibu Dangote,,

Wachawi wote kimyaaa dadeq

Sahivi wamebadili wimbo....sahivi ni kwamba anakufuru na atajuta eti...uliza kisa sasa,etiii ile "gold plated" toilet.... sasa angesema gold toilet sijui ndo wangejinyonga???
 
Diamond ni moja ya wanamziki wanaojulikana lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa hajui kutunga nyimbo nzuri na zenye mvuto nyimbo zake za kawaida sana mfano.

Nitampata wapi halafu ukisoma jina lake tu unajua ameongelea nini, hazimpi changamoto msikilizaji. huyu Diamond anabebwa sana na promo na ndio maana anatumia gharama kubwa kufanya promo huku akitumia gharama ndogo kutunga nyimbo,ajaribu kumuiga King Kiba
.
 
Huu ugonjwa wa wivu waafrika tutapona lini? Tuanze kuwaza kuwapa watu kama Dai wengi zaidi ...!
 
hivi kweli ukuta wake wa new house umedondoka au photoshop????????????:smile-big:
 
Back
Top Bottom