Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha wana muita Chibu Dangote,,
Wachawi wote kimyaaa dadeq
Promo pia nayo ni uwezo.kama hivyo umemfungulia thread ni promo pia unampunguzia tu kazi
Maendeleo Africa hayaji ,wivu unatuuwa
Huu ugonjwa wa wivu waafrika tutapona lini? Tuanze kuwaza kuwapa watu kama Dai wengi zaidi ...!
hivi kweli ukuta wake wa new house umedondoka au photoshop????????????:smile-big:
mkuu ulizidiwa na mafuriko
tangu jana unae leo umeamka nae huyo ndo DIAMOND PLATNUMZ mwingine hakunaga....
hivi kweli ukuta wake wa new house umedondoka au photoshop????????????:smile-big: