Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kwenye ka thread kao ka uking wa nyuma ya keyboard wanaichekesha sana sasahivi hata kukapitia maana kila nikipita naishia kutukana tu.....

Haaa usipite kule hakuna la maana
 
hahahaja eti king for what he has done to Tanzania music industrial hahahajah ushabiki mandazi shidaa

Hahaaaa wewee stop talking about mvaa moka lets talk about diamond ama niniii
 
Hahaaaa wewee stop talking about mvaa moka lets talk about diamond ama niniii

now nasikiliza nyimbo moja hatariiii mapenzi basiiii by dia hahajhahha unajua nini ?kwenyw my favorite music nimeka nyimba za dia na u known na yamoto band nitajuataaaa
 
now nasikiliza nyimbo moja hatariiii mapenzi basiiii by dia hahajhahha unajua nini ?kwenyw my favorite music nimeka nyimba za dia na u known na yamoto band nitajuataaaa

Hilo ndo lakufanya sasa, mie nasikiliza lala salama hapa navutia kausingizi maana inabembeleza ka nimeimbiwa mimi vilee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…