Ukweli upi? Nimekuuliza nani amekuambia anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Nimekuuliza ni msanii gani katika maisha yake yote ya sanaa alikuwa anapata tuzo? Sasa ukweli wenyewe hapo upo wapi? Badala ya kujibu hoja unasema huo ndo ukweli wenyewe... UPI? By the way, hivi mbona ambao hata huwezi kuwadhania wanakuwa na mawazo yale yale ya hovyo hovyo kwamba "mwaka huu huyu hapati!" Hivi akipata au akikosa wewe itakupunguzia au kukuongezea nini?Huo ndo ukweli kaka! Labda apate ya Zari!
