Sababu ni kama zifuatazo
1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia
BASI NI MKALI KAMA ANACHIPUKIA NA ANA TUZO NA SHOWS KIBAO ZA NDANI NA NJE YA NCHII KAWAPITA HATA WAKONGWE
2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni
WE JAMAA UNAMKUBALI DAI KIMYA KIMYA MANA HATA MI AMBAYE NI SHABIKI WAKE NILIKUA SIJUI KAMA HABARI ZAKE ZINAANDIKWA SANA NA MAGAZETI NA WAANDISHI WAMEONA HABARI ZAKE ZINAUZA ZINGEKUWA HAZIUZI WASINGEZIANDIKA KAMA YULE MSANII WAKO UNAYEMFURAHIA MACHONI ILA MOYONI YUPO DAIMOND
3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land
KAMA MSANII ANACHIPUKIA NA ANATUZO,SHOWS ZA NDANI NA NJE YA NCHII NA ANALIPWA PESA NDEFU KWANINI UNASHANGAA HILO VIPI USHAWAHI KUSIKIA/KUONA ANAYECHIPUKIA ANAYAPATA HAYO ?????? MAJINA ANAENDANA NAYO
4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege
HONGERA KIJANA KUTUONESHA UJANJA KUSHABIKIA CHUKI
5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwako
VINGI NINAVYOVIONA NA KUJUA KUTOKA KWAKO NI KWAMBA UNAMSHABIKIA NA KUMPENDA SANA DAIMOND KWA KUWA UNAJUA NA KUFUATILIA HABARI ZAKE SANA ILA UNACHOKIFANYA NI KUTAKA KUDHIBITISHA JE UPO NA WENGI BASI USIJALI TUPO WENGI
Kwahiyo kalagha baho