Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyewe

Facts?? Kuna facts hata moja uliyoweka??

Niliyoiona ni iyo ya kuita majina ya watu ambayo siyo fact ni ujinga
Nyingine ni ipi naona tu anatisha anatisha labda anatisha kwa lile domo lake na viguru Baja vyake
 
unalazimiiisha kutukanwa, hahahahaa...! Hutukanwi, humu kwetu tuna utaratibu mzuri wa kuishi na watu, tunakujibu kwa facts ubaki unatokwa povu mwenyewe

Labda na nyingine kubwa kuvaa vipedo vya dadake
 
Attachments

  • 1427657515489.jpg
    1427657515489.jpg
    61.2 KB · Views: 75
Sababu ni kama zifuatazo

1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia

2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni

3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land

4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege

5) vingine vingi tu flagili zinakuhusu
 
Ilo shoga lingine hahahahahahahahah
 
Mwenzio kaiona iyo link??
we huna akili, nimegundua napoteza muda tu hapa..! Eti "mwenzio kaiona hiyo link?" ndo nini sasa? unajaza nzi tu humu..! Kijiji gani unatokea asee? huko ambako swali na linapoulizwa hakuna relevance?
 
we huna akili, nimegundua napoteza muda tu hapa..! Eti "mwenzio kaiona hiyo link?" ndo nini sasa? unajaza nzi tu humu..! Kijiji gani unatokea asee? huko ambako swali na linapoulizwa hakuna relevance?

Kweli unapoteza muda wako maana naona kama huna kazi vile wewe lazma utakua unafanya kazi saloon maana ndo kwenye wambea wenzako
 
Kweli unapoteza muda wako maana naona kama huna kazi vile wewe lazma utakua unafanya kazi saloon maana ndo kwenye wambea wenzako

wewe mwenyekazi hum unafanya nn???? huu uzi ni maaalum kwa mashabiki wake wewe kwa kukukumbusha tu humu hapakufai
 
This line, "Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa, uso mila desturi, usojua tongozwa ukakataa, wajitia mashuhuri, kumbe chaka umechakaa agaaah....! The best song writer, keep it bro.
 
Huo ndiyo ukweli enyi mashabiki kindakindaki!
Diamond baada ya nyimbo ya 'my number one' sijawahi kuona kipya kutoka kwake zaidi ya kubabaika tu! Juzi kaamua kufunga kazi na walah kwa ile video nawasubiri basata (kama waliweza kuifungia ya Snura, mimi kwa thatha kimyaa! )

Ukweli ni kuwa kabla Diamond hajatoa 'my number one' alikuwa alitoa mfululizo wa nyimbo mzuri tu! Ila baada ya hiyo sijui ndo kajiloga?

Nataka kujua mashabiki kama watapigia kura jina au kwakuwa kavuma na skendo ya Zari ze boss lady!
👀👀👀👀👀👀👀👀
 
Sababu ni kama zifuatazo

1) sio msanii ni mwimbaji kama wengine wanaochipukia
BASI NI MKALI KAMA ANACHIPUKIA NA ANA TUZO NA SHOWS KIBAO ZA NDANI NA NJE YA NCHII KAWAPITA HATA WAKONGWE
2) anategemea cheap popularity kwa kuonekana kwenye magazeti na vyombo vingi vya habari hasa vya wambea na wasiojielewa kwa habari zisizokuwa na mipango ni habari za kimajinuni
WE JAMAA UNAMKUBALI DAI KIMYA KIMYA MANA HATA MI AMBAYE NI SHABIKI WAKE NILIKUA SIJUI KAMA HABARI ZAKE ZINAANDIKWA SANA NA MAGAZETI NA WAANDISHI WAMEONA HABARI ZAKE ZINAUZA ZINGEKUWA HAZIUZI WASINGEZIANDIKA KAMA YULE MSANII WAKO UNAYEMFURAHIA MACHONI ILA MOYONI YUPO DAIMOND
3) anajiita majina ambayo hayataweza kufanana nae wala hawezi kufikia hadhi ya hilo jina hata siku moja ktk maisha yake hapo zombie land
KAMA MSANII ANACHIPUKIA NA ANATUZO,SHOWS ZA NDANI NA NJE YA NCHII NA ANALIPWA PESA NDEFU KWANINI UNASHANGAA HILO VIPI USHAWAHI KUSIKIA/KUONA ANAYECHIPUKIA ANAYAPATA HAYO ?????? MAJINA ANAENDANA NAYO
4) sioni sababu wala umuhimu Wa kushabikia huo ubwege
HONGERA KIJANA KUTUONESHA UJANJA KUSHABIKIA CHUKI
5) vingine vingi tu wewe inavijua kichwani mwako
VINGI NINAVYOVIONA NA KUJUA KUTOKA KWAKO NI KWAMBA UNAMSHABIKIA NA KUMPENDA SANA DAIMOND KWA KUWA UNAJUA NA KUFUATILIA HABARI ZAKE SANA ILA UNACHOKIFANYA NI KUTAKA KUDHIBITISHA JE UPO NA WENGI BASI USIJALI TUPO WENGI
Kwahiyo kalagha baho
HOngera kijana kwa upenzi wa kimya kimya
 
Hivi wale majimama ya kwenye video wanapatikana Wapi? Yamenikosha sana yale
 
Nani alikuambia Diamond anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Au ni mwanamuziki au msanii gani aliwahi kupata tuzo kila mwaka katika kipindi chake chote cha usanii?!
 
jamaa siku izi hana jipya kua mkweli tu. toka my no 1 itoke hana ishu tena......arudi kwenye stlye yake iliyomtoaga aache kubabaisha
 
Nani alikuambia Diamond anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Au ni mwanamuziki au msanii gani aliwahi kupata tuzo kila mwaka katika kipindi chake chote cha usanii?!
Huo ndo ukweli kaka! Labda apate ya Zari!
 
Back
Top Bottom