Ukweli upi? Nimekuuliza nani amekuambia anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Nimekuuliza ni msanii gani katika maisha yake yote ya sanaa alikuwa anapata tuzo? Sasa ukweli wenyewe hapo upo wapi? Badala ya kujibu hoja unasema huo ndo ukweli wenyewe... UPI? By the way, hivi mbona ambao hata huwezi kuwadhania wanakuwa na mawazo yale yale ya hovyo hovyo kwamba "mwaka huu huyu hapati!" Hivi akipata au akikosa wewe itakupunguzia au kukuongezea nini?Huo ndo ukweli kaka! Labda apate ya Zari!
ila tuzo c ndo kipimo cha ubora wa msanii na tuzo zake mleta mada amereflect tuzo alizopata diamond saba na muenendo wake kimuziki akaona mwaka huu hana chake,sa sijaona tatizo la yeye kufikiri hivyo alichotaka ni mawazo ya muendelezo wa kile alichokisema.Huo ndo ukweli kaka! Labda apate ya Zari!
This line, "Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa, uso mila desturi, usojua tongozwa ukakataa, wajitia mashuhuri, kumbe chaka umechakaa agaaah....! The best song writer, keep it bro.
Thumb upmtavunja machungwa mwaka huu maana nazi zimepanda bei
omari londo , mbona umeanza pozi tena? unataka au hutaki?
mtavunja machungwa mwaka huu maana nazi zimepanda bei
Mbona team KIMBA makelele mengi??
Tuangalie takwimu zinasemaje...?
Nasema na wewe 24hrs(120000 yt viewers) vs chokatua (???)
mtavunja machungwa mwaka huu maana nazi zimepanda bei