Kwanza unaonyesha kuwa hujasoma nilichokiandika,pili umekubali kwa TZ kuwa yupo juu ila unataka uhakika kwa E.A,kwa muda aliopo Chamelion kwenye game na muda aliopo Diamond kwenye game na huyo kunauwezekano wa kumpita kama ikiwa ndani ya TZ miaka 5-6 ya uwepo wake kwenye muziki kawapita kipato na kimuziki basi hata hao wengine atawapita tu.Unavyoongelea East Africa Je chamilionne mnamuachaje? Maana sijui chamilionne na huyo Diamond nani king wa East Africa kwa mtazamo wako?
Diamond na chamilionne nani zaidi East Africa?Kwanza unaonyesha kuwa hujasoma nilichokiandika,pili umekubali kwa TZ kuwa yupo juu ila unataka uhakika kwa E.A,kwa muda aliopo Chamelion kwenye game na muda aliopo Diamond kwenye game na huyo kunauwezekano wa kumpita kama ikiwa ndani ya TZ miaka 5-6 ya uwepo wake kwenye muziki kawapita kipato na kimuziki basi hata hao wengine atawapita tu.
Kipengele cha kuimba playback umesahau? akianza kuimba kwa live band uje tena. To me Qchief au TiD ni bora zaidi kuliko huyo sababu ya msingi nimewahi kuwashuhudia wakiimba pamoja na vyombo. Hiyo ndio sifa kamili ya mwanamuziki otherwise hakuna kitu. Hivi unaanzaje kujiita mwanamuziki wakati hutumii wala hujui kutumia aina yoyote ya chombo cha muziki??? huyo ni recording artist tu sio mwanamuziki. Kwahiyo kila kwenye neno mwanamuziki toa weka msanii.
Okay huyo ni Diamond...
Je na wewe ni nani? (Huna haja ya kujibu swali hili ila liwe changamoto nafsini mwako)
Hv kiba ameanza lini kuimba na kafikia wap vile? Show yake sh ngap analipwa? Tuzo za ndani hata mi ninayo, za nje Kiba anazo ngapi vile.... Localizeddd!!
Hizi kumbe tuzo is all about money? I thought it's a reward for being the best...bac kama swala ni mkwanja mbona diamond haongozi hapa, kuna wababe wake kwa kila kitu kina kama jide but hawanaga hata mbwembwe wamepiga mute tu, but huyo diamond sasa...kweli naamini kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Sawa mkuu ila lengo langu waeleweMkuu umezunguka sana yani we sema tu kiba yupo chini kuliko diamond
Ha haaa!! Hawezi jibu hilo swali!! Eti Mtu mzima yuko bize kupamba wanaume wenzie tena misuli imemtoka!!!
Hujajibu hoja iliyo mbele yetu, lakini ni hivii huyo msanii wako yuko kwenye muziki zaidi ya miaka 13+ na ana umri zaidi ya 31+ lakini DIAMOND yupo kwenye game kwa miaka 6 tu na ana umri wa miaka 26 ameshamzidi tuzo kibao na za nje ndo kabisa je, DIAMOND akiwepo kwenye game kwa muda wa huyo msanii wenu si ndo ndimu zote mutakuwa mumezimaliza??????????Na hii ya sasa ya huyu UNDERGROUND aliyeomba msaada kwa WEMA lakini pia kapata bahati ya mchongoma kudhaa maembe kwa kupata msaada kwa EX-ZARI)
Bado tu una nightmare ya tuzo za watu? Inaelekea ilikuuma sana...na bado tuzo za kili zinakuja,mbona mtaimba haleluya mwaka huu
Najibu,huyo ni msaniii na ni mtu maarufu na hili ni jukwaa la celeb, lakini mimi ukija mitaa ya ofice yangu ilipo ndipo utajua mimi ni nani.Okay huyo ni Diamond...
Je na wewe ni nani? (Huna haja ya kujibu swali hili ila liwe changamoto nafsini mwako)
Hakuna alichonipatia nimeshamjibu na wewe nakujibu pia jukwaa ni celeb limeniruhusu kuongelea ninachokiongelea na si kila mtu kazi yake inaweza kumfanya ajulikane na TZ/AF/EU yote na majibu yake/yenu yametokana na kukosa hoja ya nilichokiongeleaumempatia balaa
Hajajibu vema,DIAMOND ni msanii na jukwaa ni CELEB na ninayemuongelea ni CELEB na si kila kazi unakuwezesha kujulikana na WTZ/WAAFR/walio wengi Kwa mfano; ukiwa dereva wa kiyori yori(suzuki carry) utajulikana na wtz wote kama si madereva wenzio tu na wanaokuzunguuka tu?????????Umejibu vema,sasa hapo vijana tujifunze kwamba mafanikio hayaji kizembe.Kama kaweza na sisi twaweza fanya chochote tutakacho tukiweka nia.
Wewe inaonyesha hufahamu unachokiongea DIAMOND ameshawahi kuimba na live band na ni zaidi ya mara 3 ila ya karibuni ni zile SHOW ZAKE ZA BURUNDI NA RWANDA na ili kuwa mwanamuziki si lazima ujue kupiga chombo chochote na kwa jinsi usivyofahamu wewe basi ni wengi si wanamuziki mifano ;Tx moshi william,Hassan Bitchuka,R.Klly naa marehemu Michael Jackson hawa wote hawajawahi wala hawawezi kupiga chombo chochoteKipengele cha kuimba playback umesahau? akianza kuimba kwa live band uje tena. To me Qchief au TiD ni bora zaidi kuliko huyo sababu ya msingi nimewahi kuwashuhudia wakiimba pamoja na vyombo. Hiyo ndio sifa kamili ya mwanamuziki otherwise hakuna kitu.
Hivi unaanzaje kujiita mwanamuziki wakati hutumii wala hujui kutumia aina yoyote ya chombo cha muziki??? huyo ni recording artist tu sio mwanamuziki. Kwahiyo kila kwenye neno mwanamuziki toa weka msanii.
Nimeshawajibu,na wewe nakuongezea kwa mtindo wa swali je, nini lengo la hili jukwaa?????? na wewe mtu nusu unashindwaje kujua umeingia jukwaa gani????????Ha haaa!! Hawezi jibu hilo swali!! Eti Mtu mzima yuko bize kupamba wanaume wenzie tena misuli imemtoka!!!
Hajajibu vema,DIAMOND ni msanii na jukwaa ni CELEB na ninayemuongelea ni CELEB na si kila kazi unakuwezesha kujulikana na WTZ/WAAFR/walio wengi Kwa mfano; ukiwa dereva wa kiyori yori(suzuki carry) utajulikana na wtz wote kama si madereva wenzio tu na wanaokuzunguuka tu?????????
Kichwa kidogo ni wewe usiyejua huko wapi, lakini pia hebu tembelea majibu niliyowapaMkuu usiwe unauliza maswali magumu kwa vichwa vidogo...
Ni afadhri ya wewe umeshajua kwa TZ hakuna wa kumlinganisha nae, lakini si vibaya kama wewe unajua kati ya DIAMOND na Chamelion nani zaidi ukatufahamishaDiamond na chamilionne nani zaidi East Africa?
Pole sana dada yangu kwa kutoziruhusu akili zako zifanye kazi kama ile inayofanyaga kwenye Korean drama,lakini ok iko hivii, unachotakiwa kumwambia kuwa hapa tunaongelea celeb(watu maarufu) kama wewe ni nifah ninayemjua nadhani huwezi kujitoa akili kwa hilo kwamba nipo sahihi,lakini pia si kila mtu kazi yake inamuwezesha kujulikana na watu weeeeeeeeeeengi kiasi cha TZ nzima kujulikana ila mitaa ya Ofisini kwangu ukija watakwambia mimi ni naniHuu ni uonevu kwakweli! Unatakiwa upigwe ban hata ya week tu kwa kumdhalilisha mtu na kumpa msongo wa mawazo kwa swali lako gumu!