Nifah, acha kujipunguza akili unaweza ku-listi ni kazi za aina gani na zipi ndizo zenye utaratibu wa kupewa tuzo au kwa vile hoja yangu pale juu mumeshindwa kujibu kwa hiyo munatafutia pa kupatia nafuuWewe una tuzo gani? Inahusiana na nini?
Isijekua unaongelea tuzo ya BUMUNDA ulilopewa na bibi yako ulivyomaliza darasa la 7!
Ni afadhri ya wewe umeshajua kwa TZ hakuna wa kumlinganisha nae, lakini si vibaya kama wewe unajua kati ya DIAMOND na Chamelion nani zaidi ukatufahamisha
Naomba nikuulize swali kuhusu skendo je huwa anafanya jambo halafu anawaita waandishi wa habari jamani leo nimefanya hiki au waandishi ndo wanaozifuatilia habari zake ??????? Ila kuhusu uchawi siwezi kuuongelea kwa sababu mimi si mchawi kwahiyo kujua fulani ni mchawi na fulani sio siwezi ila wewe utakuwa mchawi mwenzie mumegongana sehemu ndo maana unatulazimisha na sisi tuamini maneno yakoDiamond ni msanii wa kawaida sana ukiachana na skendo na uchawi wa Kigoma ndo maana anatamba
Tatizo humu mmejaa watoto na mko addicted to poverty.Hizi kumbe tuzo is all about money? I thought it's a reward for being the best...bac kama swala ni mkwanja mbona diamond haongozi hapa, kuna wababe wake kwa kila kitu kina kama jide but hawanaga hata mbwembwe wamepiga mute tu, but huyo diamond sasa...kweli naamini kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Wameshakubali kuwa DIAMOND yupo juu na ndo maana ZARI ALL WHITE PARTY UKUMBI TULIUJAZA PAMOJA NA WAO bila kusahau na JEMBEKA FESTIVAL MWANZANasikiliza radio sahvi hapa. Ni Nana tu Sankoro tu kila radio station kama 3 kila nikisogeza frequency NaNa"diamond iz de baddest ever
Wameshakubali kuwa DIAMOND yupo juu na ndo maana ZARI ALL WHITE PARTY UKUMBI TULIUJAZA PAMOJA NA WAO bila kusahau na JEMBEKA FESTIVAL MWANZA
Mkaliwa nini?Money,Muziki,Fashion,Tuzo(ndani na nje)amma nini?Diamond na chamilionne nani zaidi East Africa?
Diamond ni msanii wa kawaida sana ukiachana na skendo na uchawi wa Kigoma ndo maana anatamba
Wadau pigeni mara nyingi muwezavyo kwa siku
ahaha!kaka angu umetishaa!!yaani mpaka umezuiliwa??khaaa!!!