Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!
hapana kwa category moja unaruhusiwa kupiga mpaka mara 20 tuu, na wanakuambia kabisa kuwa umefikikia kiwango cha mwisho kwa siku
 
hahahahaha alisema prof jay "upinzani wa jadi bongo, haupo tu simba na yanga"
 
Kuna kitu watu hawakijui ila ukweli wabongo wengi walichoshwa na nidhamu ya Diamond
 
Kwa wasioelewa mult talented lazima waone dogo amepoteza muelekeo! Ila bado yupo vizuri sana wala hana papara, pia kingine kinachomsaidia Diamond ni ile crew yake ya uongozi!
Njoo utetee point yako mkuu! Sisi wengine tumejaaliwa kuona mbali!
 
 
Tukumbushane jamani...kila mmoja humu amepata ile chai yetu..kama bado basi ingia mapemaa ili mida flani uendelee na mishe nyingine bt chakwanza ni 60votes kwa dai na 20 kwa v money...haya twendee sankoroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…