Huo ndiyo ukweli enyi mashabiki kindakindaki!
Diamond baada ya nyimbo ya 'my number one' sijawahi kuona kipya kutoka kwake zaidi ya kubabaika tu! Juzi kaamua kufunga kazi na walah kwa ile video nawasubiri basata (kama waliweza kuifungia ya Snura, mimi kwa thatha kimyaa! )
Ukweli ni kuwa kabla Diamond hajatoa 'my number one' alikuwa alitoa mfululizo wa nyimbo mzuri tu! Ila baada ya hiyo sijui ndo kajiloga?
Nataka kujua mashabiki kama watapigia kura jina au kwakuwa kavuma na skendo ya Zari ze boss lady!