binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
yani nafika hadi 50 ila sikatazwi, kwani ukiambiwa thanks for vote si ndo tayari ushavote au kuna process nyingine?
yani nafika hadi 50 ila sikatazwi, kwani ukiambiwa thanks for vote si ndo tayari ushavote au kuna process nyingine?
Kama unatumia opera mini inakataa, badilisha usitumie opera mini haitarsabika.
natumia chrome
Hiyo poa best, kandamiza tu kura.
sasa mbona hawanilimit napiga zinafika hadi hamsini
Haya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
mtavunja machungwa mwaka huu maana nazi zimepanda bei