Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jisumbueni kuvote hamuambulii chochote hivi nna akili zako Wiz kid na davido wapo hapo diamond atapita wapi? Mnapoteza hela zenu tu
 
Washabiki na wapenzi wa muziki mzuri tuendelee kusapoti muziki mzuri, yale ya jana yamepita tusonge mbele ata tukilalamika haitosaidia kitu siasa imeshaingia kwenye muziki. Mwisho wa siku ukweli una tabia ya kujitenga na uongo.

Kikubwa muelewe Diamond ana supporters wa kutosha na amejipanga sana msitegemee disappointment labda ya kutengeneza kama ya jana ambayo haibadili chochote. Leo imeanza kesho inakuja muda utaongea.
 
yani nafika hadi 50 ila sikatazwi, kwani ukiambiwa thanks for vote si ndo tayari ushavote au kuna process nyingine?

Kama unatumia opera mini inakataa, badilisha usitumie opera mini haitarsabika.
 
inasikitisha sana kuona watu wanamchukia na kutaka kumshusha diamond kisa tu anapigana na umasikini na amefanikiwa kuushinda,instead of hating its better to learn from him and support him.
 
Hata ile moja aliyopata alistahili Bella basi tu walimuonea huruma.
Tuzo aliyostahili ni video asije kufa bure!
 
Haya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
 
Haya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

hayaaa
 
Nakumbuka enzi zetu hii kitu kati ya Ali Choki na Banza. Kwa kuwa tulikuwa wa mwisho kupata malezi mema tulichuana kwa hoja na siyo kwa chuki.
 
by mzurimie;
Haya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

Mkuu mzurimie nashukuru sana kwa link maana nilikuwa naitafuta kishenzi! ngoja niwahi nimpigie kura wizkid na mdee fasta!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom