Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Oya... Sankoro.


Kama ronaldo
 

Attachments

  • 1434365654793.jpg
    26.3 KB · Views: 85
  • 1434365690043.jpg
    30.3 KB · Views: 82
  • 1434365718262.jpg
    33.5 KB · Views: 78
  • 1434365737749.jpg
    30.3 KB · Views: 80
Wote wanao comment humu wanampenda sana Diamond Platnumz.

Hakuna jingine tuendelee kumfagilia mwanamuziki wetu.
 
Kwani huku ni mbinguni mpaka team kiba tusije? Nyie mnavyokujaga kwetu mnakuaga mmeleta nini kule? Yaan apa natimba kama kawa kama mbwai iwe mbwai nani anajali.
Kama mmekosa tuzo kivyenu kwani simu zenu nilikuwa nazo mimi adi msipige kura?
Oyoooooooooo.
VOTE FOR DAVIDO
 
Mweeee mkijaga kule kwetu ili muonekane malaika kwenye og id zenu mnasajili id mpya... sasa mimi mtoto ya royal famili naingia na yangu og na hii ndio sura yangu halisi.
Nyie njooni na id mpya kama ishara ya woga
 
Kivipi yani¿¿

Tehe teheeee utaelewa tuu.
Duniani wapi wasipomjua kiba?
VOTE FOR DAVIDO.
Yaani nikiingia huko IG nasikia raha sana team wema team kidoti team ivan team kiba wote ni mwendo wa vote for davido.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…