Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
maana yake ni ajiangalie nice alikuwa juu na alishuka kirahisi bila kuelewq
flora msoffe wewe as an individual ulishiriki vipi kumuweka msanii yoyote juu? Na huyo diamond umemuwekaje juu hadi leo useme asipokuwa makini utamshusha.?
anawekwa na kura zetu na ndio tunamuweka kwa.kushabikia na kusikiza mziki.wake vinginevyo uniambie anakuwaje star kama sio sisi mashabiki tunaamua.wacha kwere
vibao vya utamu
Diamond leo yupo live kwenye redio za South Africa sasa yupo Kaya FM
Yani wewe sijui kama hata chupi huwa unakumbuka kuvaa, hivi ungesema Diamond leo ana interview Kaya fm na ukaweka online link ungepungukiwa nini hasa?
Haya hizo redio za ni zipi?
Nakusikitikia kama hujui ya mitandaoni usijifanye mjuaji wa kutukana uliza, shame on you. Na sikuwekei.
Nakusikitikia kama hujui ya mitandaoni usijifanye mjuaji wa kutukana uliza, shame on you. Na sikuwekei.